Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuna mmoja kashauriwa pale juu eti alikuwa anajulikana kama mwanaume, akaambiwa ajitahidi eti comments zako ziwe za kifeminine!!!! nimecheka sana joanah kuwa basi na lugha laini laini ona sasa
hahah...sijawahi kujua kama una lugha shawishi hivi...siku zote huwa naona una lugha ngumu ngumu zile za kijiwe nongwa...
 
Mie ni expert wa kushawishi/kubembeleza[emoji28][emoji28].....huku tuko fake,na kuwa ngumu ngumu ndio style yangu ya ufake wa JF

Hahah i see...but it feels good that u sometimes can be real outta here...
 
Kuna mmoja kashauriwa pale juu eti alikuwa anajulikana kama mwanaume, akaambiwa ajitahidi eti comments zako ziwe za kifeminine!!!! nimecheka sana joanah kuwa basi na lugha laini laini ona sasa
Nani alikuwa anajulikana kama mwanaume?
 
Umeshakuwa babu? Kuna no ya tigo nilimuwa nayo miaka na miaka sasa siku napoga akapokea mwanamke nikajua mkeo nikataja jina lako la asili napo hakuelewa nikajua tu umebadilisha no.
Hongera sana kwa kuwa kijijini huko ndo utajiri ulipo.
siku hizi nipo kijijini nakula pensheni...kwisha habari yangu hahaha!!!
 
Tumeni sana tu, naona mmeukwaa mkenge, iko hivi Huyu mtu sijui kaambiwa nanani asaidie kutambua watu, intelligence haitumii nguvu! Ukipiga picha na simu yako kisha ukaiaplodi huwa picha inatabia ya kuwa na details zoooote kama mfatiliaji akiwa na Modern Image Analyzer au Advanced Metadata Software, hadi namba ya simu card inaweza kuwa revealed.

Upo uwezekano wa kutuma Spyware article yenye reverse mode kutrack details zako zote, inaweza kuwa imepandikizwa kwa video clips au picha yenye mvuto.

JF ilikumbwa na kazia ya kutakiwa kutoa identity za members.

Acheni ushamba
 
Back
Top Bottom