Itume hivyo hivyo acha uchoyo mbona hata mie kama wewe na nimetuma hapa
Yakwako Sijaiona kabisa, nimeona ya Atoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itume hivyo hivyo acha uchoyo mbona hata mie kama wewe na nimetuma hapa
Tengua hiyo kauli tafadhali japo kiutani utani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shindwa, niwe mwembamba kwani nimemkosea nini Mungu?
Siyo ile ya miaka yetu mimi amu..... Unanikumbuka?
Mie ni expert wa kushawishi/kubembeleza😅😅.....huku tuko fake,na kuwa ngumu ngumu ndio style yangu ya ufake wa JFhahah...sijawahi kujua kama una lugha shawishi hivi...siku zote huwa naona una lugha ngumu ngumu zile za kijiwe nongwa...
Hahahaha yako sijaiyona mpendwa
Siyo ile ya miaka yetu mimi amu..... Unanikumbuka?
hahah...sijawahi kujua kama una lugha shawishi hivi...siku zote huwa naona una lugha ngumu ngumu zile za kijiwe nongwa...
Itakuwa umeifuta kama AtotoNiliweka,tena full picha...hujaniona tu
Nimeweka mbonaYakwako Sijaiona kabisa, nimeona ya Atoto
Ipo mi sifutagi 🙈🙈Itakuwa umeifuta kama Atoto
Oooh!!! long time no see lol...nawezaje kukusahau
Nimejizui kucheka nikashindwa hapa dah
Najiuliza hiyo zawadi sasa
Mie ni expert wa kushawishi/kubembeleza[emoji28][emoji28].....huku tuko fake,na kuwa ngumu ngumu ndio style yangu ya ufake wa JF
Namba ngapi nikajione Sema yako haina ulazima sana najua kwamba we ni mrembo 😍😍Ipo mi sifutagi 🙈🙈
siku hizi nipo kijijini nakula pensheni...kwisha habari yangu hahaha!!!
Ha ha ha ha nimecheka sana nafurahi pia kukuona mara moja moja jamvini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]