google helper
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 9,623
- 13,759
Basi tu naogopa kuendelea maana akili inahama njia yake. Ila Mungu fundi sana hata uumbaji wako umefanywa kwa vipimo stahiki na udongo uliotumika kukuumba ulichekechwa sana ukawa laini kama unga wa ngano.Asante Mkuu