Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
images-1.jpeg
images-2.jpeg
 
Naona umelishikia bango.
Me hiyo picha alivoituma tu nikaisearch google na kweli nikakuta ni ya huyo Jackie appiah lkn niliona haina haja ya kuja kuyasema.
Haya mnisamehe sikujuwa huu Uzi ni wa kuweka picha feki, nilijua mnaweka zenu original. Ndo maana ni kasema coz namjua vizuri Huyo star.Plz kwa niliemkwaza akisoma hapa anisamehe bure
 
Back
Top Bottom