Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kuwekwa jana tu watu mmefika 66 yaonekana mdogo wangu anawachota. Sasa mumjue ni black beuty halafu sauti yake inaweza kuwatoa chura pangoni. Macho chake kama ya malaika, weusi wake wa kunata. Mnamwona mshana wa kwenye JF siyo halali. Mkimwona mtashaaa.
 
Back
Top Bottom