Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ngoja nijeNaomba kabisa password, atakayekuja PM nimjibu mimi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nijeNaomba kabisa password, atakayekuja PM nimjibu mimi.
Kwanini ulikuwa unahisi hivyo?
Dada ni ile niliyokuwekea piemuni 😜Nasubiria yako
Dada ni ile niliyokuwekea piemuni [emoji12]
Na makucha yakeSijambo shemeji. Kumekuchaaaa.
Kuwekwa jana tu watu mmefika 66 yaonekana mdogo wangu anawachota. Sasa mumjue ni black beuty halafu sauti yake inaweza kuwatoa chura pangoni. Macho chake kama ya malaika, weusi wake wa kunata. Mnamwona mshana wa kwenye JF siyo halali. Mkimwona mtashaaa.
Dah... Sikuwahi kuwaza kama JF kuna mapaja mazuri namna hii... Na migulu yake na vidole vyake [emoji7][emoji39][emoji39][emoji39]Mtajua hamjuiView attachment 1217874
Oya bob acha kuvaa nguo za jeshi hizo mwisho wa siku ndo mnakujaga kutuambia sie wagomviMimi tena... Mpaka mchoke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Kilingeni MsataView attachment 1217885
🤦♀️🤦♀️🤦♀️🤦♀️Ridhaa ya umbo lako
Mimi na wew???Aiseee
Tumesoma wotee
Mvumbo hizi sizo....Au ya kazini haifai?View attachment 1217896
Mwanajeshi Jf ni yeye tuKha....!!! Kama ndio uniform zetu nifanyeje sasa... Au una hati miliki?