Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeshapost, nikiwa ndani na gari.
Mmhh kwahiyo ile picha uliyotuma siyo yako eenh??Hahahahaha
Hawaelewanii
Hata mie mwembamba
Ile ina unene gani eti, halafu nishatuma kama nne hivi sema nafuta ... ile kule juu kabisaa sio mimiMmhh kwahiyo ile picha uliyotuma siyo yako eenh??
Usicheze na kilinge eti
Umeleta na ushahidi kabisaa my dear!!!Mbona ndio alikuwa wa kwanza kuicomment. View attachment 1218508
Mtoto??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo wa kwenye gari mbona kama ni mtoto
TayariiNishalijibu....halafu hembu kuja mara moja
Wewe una mabunduki.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na mimi jee
Ila uliyopiga kama juu hivi halafu chini kuna barabara zinapita siyo yako??Ile ina unene gani eti, halafu nishatuma kama nne hivi sema nafuta ... ile kule juu kabisaa sio mimi
Hivi ni kweli inakuwia ngumu kuiamini?Umeleta na ushahidi kabisaa my dear!!!
Basi ni wewe babe! Acha niamini tuu
Kabla ya misa. View attachment 1218436
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wewe una mabunduki.
Tatizo wewe mjanja mjanja sana jamaniHivi ni kweli inakuwia ngumu kuiamini?
Au ulikuwa unajua mimi ni mzuri sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimegundua huku watu wengi ni wanene na mashape yao.
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Angani amaaIla uliyopiga kama juu hivi halafu chini kuna barabara zinapita siyo yako??
15 minutes beforeView attachment 1218204
Huyu tamwelewesha mie kama haamini.Hivi ni kweli inakuwia ngumu kuiamini?
Au ulikuwa unajua mimi ni mzuri sana? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]