Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nilikuwa na ndula moja FILA matata sana ile ilipanda ndege kuja bongo...

Sasa ile utozi wa wakati huo wa nyuma nikaenda nayo boarding, unajua tena ukiwa timu ya kikapu ya shule...

Hata wiki ilichukua kwani? wajanja wakaifanya yao
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole dear
Kumbe hukuwepoo
Sasa ningekuwepo nione afu nisiusifie ufundi wa sir God?
Fanyeni marudio basi kwa ajili yangu 😂
 
Back
Top Bottom