Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mashallah
Screenshot_20190929-184409.jpeg
 
Msome mzee toboa mwanaume mwenye maakili yake
Nimemsoma nimependa sana.
Kuna jamaa alicoment kwenye picha ya Scorpio kwamba alijua tuu bimdada ni kisu instinct zake hazijawahi kumdanganya baada ya kuona picha kadhibitisha.
.
Nilipasuka kwa kicheko, bora hata bimdada aliwawekea picha waliokuwa nayo kwenye akili zao.
 
Hahahaha namkumbuka huyo jamaa saiv atakuwa anachungulia tu kwa mbaaali

Back
Top Bottom