miminimama
JF-Expert Member
- Aug 2, 2018
- 696
- 1,818
Wanawake tunapendana, ila mume sina.
Bonge la zigo limesambaa limejaa halafu lime......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonge la zigo limesambaa limejaa halafu lime......
Lile ni kontena inye inye dadekii ningekuwa dume ningeubeba huu mzigo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].na manvyojua kuringa ukitangulizana na mtu unaenea njia nzima mwendo wa pole kamkono unarusha dunia kama yako vile.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nazifuta sasa
Wanawake tunapendana, ila mume sina.
Bonge la zigo limesambaa limejaa halafu lime......
Na mimi nimecheka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha japo ni Commender
Lakini hapa lazima uwe umejipanga haswa haswa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi mfanye awe wifi yako tu by default
Unanisemea kwa nani?Ha ha haaaa ukighaili naenda kusema twende
Umewona au nikuazime mawani
Nazifuta sasa
Miss u too ticher.student i miss you.
maendeleo vipi.
Nacheza na akili zao si majinga haya... Wadada wenye akili na walio starabika huwezi kuta wanabishana icho kitu..
Kama Meeyah, na sakayo ni watu waliostarabika.. Hata kama ni kweli nimekosea wangetumia njia ya kistaarabu kuniambia
We angalia akili zao zilivyo mbovu wameshaanza kutumia personal attacks..
Hata mimi nimepoteza mda mwingi sana bora ningesoma biblia, Nilijua Jf wamestaaribika kumbe wapi..
Sasa hiyo ni mi mama ya miaka 30 inashindana na mimi miaka 20 ...ulafu unakuta ina mitoto mikubwa
wakati sie ndio mahodari wa kupenda na kutunza.Nyie wajeda hamchelewi kutengua watu viuno miguu