Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Huu uhuni niliufanya mwenzio ila nikaacha hebu acha kunifanyia hivyo jamaniMimi niliweka mwanzoni mwa uzi ila kwa niaba yako best yangu nairudiaView attachment 1219912
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uhuni niliufanya mwenzio ila nikaacha hebu acha kunifanyia hivyo jamaniMimi niliweka mwanzoni mwa uzi ila kwa niaba yako best yangu nairudiaView attachment 1219912
Ni Mimi huyo.Aisee siamini kama huyu Mama ni wewe [emoji3][emoji3]
Weee hakuna wa kunitenganisha na pombe labda kifo.. Ila lazima piemu yake imefurika sio kwa zgo lile hawez kosa
Uhuni gani best 😀😀😀Huu uhuni niliufanya mwenzio ila nikaacha hebu acha kunifanyia hivyo jamani
Mnatuangusha Sana wafutiliaji huu uzi ina maana waliobarikiwa ni Miminimama nyie wengine mbona hamuwekiNyie si mnapendaga mizigo!!! Mmeona jf inavyobeba eehhh na bado wenye mizigo jamani tupieni tufarijike na vichambo vya humu
[emoji23][emoji23]Mwl wa gym [emoji14][emoji14]
Wa SanchezNani[emoji15][emoji15][emoji15][emoji144]
Wanajeshi wako romantic, wanacare, sio wabahiri, wakweli na at the same time ni waongo waongo, wastaarabu ila hapa ni baadhi 😂Niambie..ikoje?
Uhuni gani best [emoji3][emoji3][emoji3]
Picha umeichomoa fecebook niweke fullNi Mimi huyo.
Watu tunachukuliana poa Sana humu jamani[emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sio Kama unanyanyapaliwa mtumishi nchi yetu inaihitaji watu wenye rutuba Kama miminimama
Nyie wengine mliobakia tutawabadilisha na wanyarwanda Wale hata wasipokuwa na neema fil minyatu tutavumilia kidogo sura
😂😂Ni Mimi huyo.
Watu tunachukuliana poa Sana humu jamani[emoji2][emoji2]
Amini nakwambia ni mimi huyoSi huo
Amina bwana Mtumishi 🙏[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu akubariki sana
Kwa mtengeneza njia ha ha aa madomo zege tuna ta bu sanaUnanisemea kwa nani?
Mnatuangusha Sana wafutiliaji huu uzi ina maana waliobarikiwa ni Miminimama nyie wengine mbona hamuweki
Wekeni hata hizo English figure tuzionee
hahaha student Depal huu uzi umenipeperushia njiwa aisee.Nilivyoona huo mkono hamu yote ya kuendelea kukujua ikaniisha[emoji1751]
Mimi niliweka mwanzoni mwa uzi ila kwa niaba yako best yangu nairudiaView attachment 1219912