Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanajeshi wako romantic, wanacare, sio wabahiri, wakweli na at the same time ni waongo waongo, wastaarabu ila hapa ni baadhi [emoji23]
Ila sasa ni viwembe noma mbaya [emoji23][emoji125]
Mwanajeshi sio kwa upande wa mahusiano hawafai kwa matumizi raha kuwaona na magwanda yao tu lkn ni makauzu hawana uromantic wowote
 
Team utetezi
Hatimaye nimefanikiwa hiyo. (Camera yangu ya nyuma imepasuka ndo maana hiyo picha imetoka kama na ukungu hivi).

Hiyo ni jana Zanzibar
20190930_182829.jpeg
 
Back
Top Bottom