Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Sawa
Bado sijaona maana inaonekana wengi wenu hamjikubali mnaishia kwenda kuchukua picha google na kuzileta humu, tafasiri yake ni kwamba bado hamjiamini...
Wachache sana wameweka picha zao halisi na wengi ni vibonge, na wale wenye midomo sana humu naona asilimia kubwa wameishia kwenda kuchukua picha google...
Bado naamini nakojolea sehemu nzuri sana...