Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Poleni sana jamaniArusha jioni hii hali ya hewa ilikuwa hivyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poleni sana jamaniArusha jioni hii hali ya hewa ilikuwa hivyo.
Naona ulikuwa unamsaidia kuchochea kasi ya pichaJamani[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Eti Msaidizi wa mganga...umenionea Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Asante, Wapole akina Valee, mimi si dwellerPoleni sana jamani
Pole bila mirinda nyeusi?Poleni sana jamani
Mate unakwama wapi aise!!Mbona umefuta sasa mimi nilitaka nikuone
😂😂Hivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
HmmmmAsante, Wapole akina Valee, mimi si dweller
aiseWeka lako
Useme hapa kabisa na ulimwengu ujueKweli we mwanamke changamoto[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole bila mirinda nyeusi?
Nani kafuta?Hivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
Zangu ni OG lazima zidumu kwa muda mchache 😂Mbona umefuta ??
Pole dadaHivi watu mnaweka picha halafu mnafuta ndio nini? Mnaboa [emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaa we mwanamke changamoto eti vuzi[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]yaani nimeona 'vuzi' tu hapo mengine hata sijaona
Sikai Arusha nilikwenda tuHmmmm
😂😂 sahivi tumebaki na manyunyu kwahiyo hiyo pole yako inabidi ije na kikombe cha kahawa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wataiona kwelii na hilo gizaa
Lakini zi zinatakiwa zifutwe?[emoji23][emoji23]
NdioooLakini zi zinatakiwa zifutwe?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona nimetupiaMate unakwama wapi aise!!
Kila nikichungulia humu na kuta maneno matupu;
Haha fanya kutupia; tusafishe macho