Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka lako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatari sana
 
Huwa natumiwa, hata hivo wanaisha sasa maana utunzaji wake unataka uwe mvumilivu sana. Picha nilipiga wakati nawaonja nilivoletewa sahivi nilikuwa sehemu siyo sahihi kupiga picha thats why nikachomoa hii ingawa muda huo nilikuwa nawala
Bukoba moja hiyooo ,hao wadudu watamu sana, nishawahi hadi kupaliwa sijui nilikula hadi kimguu chake [emoji1] [emoji1] ,ulafi huu
 
Back
Top Bottom