Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Umekosea, kuna namna nilitaka nikueleze😂Nkamu wangu eeeh?
Haya sasa ndio maneno🔥🔥🔥🔥🔥
Nkamu Lamomy una keki yako huku..
Kaka hana mbambamba🔥
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekosea, kuna namna nilitaka nikueleze😂Nkamu wangu eeeh?
Haya sasa ndio maneno🔥🔥🔥🔥🔥
Nkamu Lamomy una keki yako huku..
Kaka hana mbambamba🔥
Umekosea, kuna namna nilitaka nikueleze😂
Dooh bado hujanielewa😂Hebu nipe maelekezo ya hiyo cake
Nkamu Lamomy ona unavyopendwa🔥🔥🔥🔥
Basi nielewesheDooh bado hujanielewa😂
Tatizo una haraka sana😂Basi nieleweshe
Mungu anakuonaMimi sijawahi kuwa na mahusiano na huyo mtu zile zilikuwa chitchat nitoe basi, hata kumjua simjui.!!
😂Mimi sijawahi kuwa na mahusiano na huyo mtu zile zilikuwa chitchat nitoe basi, hata kumjua simjui.!!
Nkamu Nkamu😂😂😂😂Nkamu wewe tunaheshimiana is it?
Achana na hizi drama nishavuka nazo
Hivi tunaelewana??Mungu anakuona
Usikaze sana Nkamu
Ila hapa unajua kweli nitapata oda ya keki
Usichane mkeka😂
I mean itNkamu Nkamu😂😂😂😂
Haya tajiriTatizo una haraka sana😂
Nkamu jamaniI mean it
Hapo sawa😂Haya tajiri
Nakusikiliza Boss
Twende taratibu 😂😂
Ngoja kwanza boss aconfirmHivi tunaelewana??
Hiyo cake mimi sio muhusika coz sina mahusiano naye na hatujawahi kuwa na mahusiano.!! Au mara y’a kwanza kupokea cake kutoka kwake lini??
Huo mkeka ulisukwa lini mpk leo uchanike?Nkamu jamani
Unajua Mungu anasuka upya mkeka,wewe unachana
We mbona mgumu kuelewa?Ngoja kwanza boss aconfirm
Tulia nitakuambia tatizo una haraka😂Haya sasa
Nakusikiliza Boss 😂