Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe na ephen aisee.Nimempa ratiba ya mazoezi mkuu ,hapo bado😁
@ephen lipo sema inasemekana ni T3 😁Mpe na ephen aisee.
Santo sanaa!! Huyo kwakua bado hujamuingizaa komaaa kiume hadi umpenyeze banaa!😊
Mchumba wake ataniua😁😁😁😁😁Santo sanaa!! Huyo kwakua bado hujamuingizaa komaaa kiume hadi umpenyeze banaa!😊
😂😂😂😂Nimempa ratiba ya mazoezi mkuu ,hapo bado😁
Santo sanaaa Fanya manuva utubles mchana wetu uanze vizure mfaransaaa !Nice photo
😂😂😂Weeeeh sema kweli
Acha wogaa unaniangusha ujuee! Ntamwambia bossi wangu smart akupe mwongozo ujilie kiulaini kwanzaa yaniii hutatumia nguvu kabesaaaa😂🤭🤭🤭Mchumba wake ataniua😁😁😁😁😁
😂nipewe ratiba ya mazoezi jamaniiiii🥹🥹🥹🥹Mpe na ephen aisee.
Dah!🙄 mbona mimi nakuchukulia kama kaka angu
Mazoezi yanini nyamanyama maeneo ndio tramuuu banaaa au min akee atashindwa kukubeba??😂nipewe ratiba ya mazoezi jamaniiiii🥹🥹🥹🥹
Min akee?🙄Mazoezi yanini nyamanyama maeneo ndio tramuuu banaaa au min akee atashindwa kukubeba??
Ivoivo atakomaaa😁😁😁