Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mbona siku njema ya haraka hivyo unaenda wapi kwenye vikao vya wastaafu?πŸ˜…πŸ˜…

kichotara kimetulia acha atuwakilishe

Asante Monk na kwako pia siku njema

Nakuatakia siku njema ili Kila kitu kiende salama, Kila jema utakaloweka mkono wako lifanikiwe. Au nilitakiwa niseme asubuhi njema?

Naenda kupata kajua ka asubuhi huku nasomasoma ka kitabu Kwa pembeni.

Screenshot_2024-09-18-09-20-36-43_99c04817c0de5652397fc8b56c3b3817.jpg
 
Back
Top Bottom