Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Paka hizo Ndevu super blanka 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Paka hizo Ndevu super blanka 🤣🤣🤣
Yan umenitamanisha Leo Nina mood ya mchemsho wa nyama na ndizi 😀Leo tunapika nini?? Andaa bas juice
Kaa hapo hapoRudia unibles nisafishepo macho jamaniiii
Here standby 🙇🙇🙇🙇Kaa hapo hapo
Ila nyie wambeaaaa...😃😃😃Bora
Atupumzishe na za ukuta aisee
Sijui anakuja na Msuko gani Madam wetu jamani
Bantu Lady namkumbuka sana mrembo wa JF mtani wangu ni mrembo haswaaa..Njoo pm nikupe ya bantu lady🤣🤣🤣
Bantu Lady usije ukalia dada hata Sina natania tu 😂😂😂
Mimi kwakweli nasubiri uweke nimfowardie apate darasaaaaaaa.Yan umenitamanisha Leo Nina mood ya mchemsho wa nyama na ndizi 😀
Hapa nishapita Kwa mzee ananiuziaga ndiz kasema ndio anaenda kuzifata shamba
Stay tune
Mkwe wako haonekani kaka mkubwa😭😭😭
Haya haina shida basi tukachukue tuu moja kwa moja sasa...majukumu huko PM uyatekeleze vyema...😊😊😊😊😅😅😅Tukaite tu katoto ketu wala usijali wakwetu🤗
Hahaha thithi wana thimba au unaongelea wengine🤔Juzi mlikua mnapumulia mashinee 😂😂😂!
Walai mngetolewa ingekua aibuuuuu!
Kazeni kaliozz kwenye makundi msifumuliwe sasa😁🤭
🤣🤣🤣Paka hizo Ndevu super blanka 🤣🤣🤣
Mhm wakwetu , hizi mbege za siku hizi sijui wanaweka nini 🤔Haya haina shida basi tukachukue tuu moja kwa moja sasa...majukumu huko PM uyatekeleze vyema...😊😊😊😊😅😅😅