Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mhm wakwetu , hizi mbege za siku hizi sijui wanaweka nini 🤔 View attachment 3105188
Hii ni mbege kweli?? Mbege ya ndizi au itakua ya miwa?? 😃😃😃😃😃😃 au wamejaza gongo mpk ika undergo chemical reaction mpya kabisa...unajua mm nikiendaga kule ukweni huwa sinywi kabisa...labda wanipe iliyotoka mbali napo nakunywa kikombe kidogo cha chai... ila hii siwezi gusa..
 
Vitoto vya alfu mbili havijui maana ya kua mchaga😄😄😄
 
Back
Top Bottom