Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ahahahah muhimu ufe na fashionSio kila miguu ni ya kuanika nje! Stick zinapaswa zikae ndani ya kopo. 😂
Kuna mingine mi upinde wa mvua sema inamiss rangi tu. 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah muhimu ufe na fashionSio kila miguu ni ya kuanika nje! Stick zinapaswa zikae ndani ya kopo. 😂
Kuna mingine mi upinde wa mvua sema inamiss rangi tu. 😂
Vip uko si mta zaana sana hiki kipind au?
Mambo hayo bongo mkuuVip uko si mta zaana sana hiki kipind au?
Huko mko bise kutafuta pesa ety?Mambo hayo bongo mkuu
Naam, ngono zipo pia ukitakaHuko mko bise kutafuta pesa ety?
Oh nyie pambanen na baridi kuna mwaka nitakuja kutembelea kipindi cha baridiNaam, ngono zipo pia ukitaka
Aisee naitwa Vincenzo Jr tajiri kutoka kigamboni naweza kukupeleka Zanzibar tupate kahawa na samaki 😎😎Weeekend is weekending ☺️
Gusa achia .....🙌Yanga leo mmetuharibia siku kabisa
Yule kochwa mwehu dube ni stupid alie kosa mafunzo kabisaGusa achia .....🙌
😂😂 Uje simbaYule kochwa mwehu dube ni stupid alie kosa mafunzo kabisa
Hapana simba sijawai ikubali😂😂 Uje simba
Kila mtu atateseka kwa wakati wake, zamu yeju yanga🙌Hapana simba sijawai ikubali
Sawa bhna ila kulia kupokezanaKila mtu atateseka kwa wakati wake, zamu yeju yanga🙌