Missy Gf
JF-Expert Member
- Oct 30, 2022
- 5,441
- 15,201
Selfika hapa tukuoneHumu watu Hawa selfiki Tena eeh ,wadau wenye Uzi wao siwaoni kbs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Selfika hapa tukuoneHumu watu Hawa selfiki Tena eeh ,wadau wenye Uzi wao siwaoni kbs
Eeeh hebu nichokoze na selfie Yako Moja, nitume 4Selfika hapa tukuone
Nishatuma angalia hapo juuEeeh hebu nichokoze na selfie Yako Moja, nitume 4
HakunaNishatuma angalia hapo juu
Leo nipo mjini aseLeo unapika nini chef
Ziselfishe basi tuone 😹Kama ulikuwepo zinatoa unga kabisaaa
Njoo pm uzione vizuri...hapa nitaharibu hali ya hewaZiselfishe basi tuone 😹
Vinjuga au sio siku moja moja sio mbaya mkuunaona ndo shem,
anapenda kweli vile vinjunga.
hongera.
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!
Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.
Mi ndo maana sipendagi kufatilia huu uzi ona mtu anamkono wakijambazi kabisa huu...🤣
Nakuteka sooonMi ndo maana sipendagi kufatilia huu uzi ona mtu anamkono wakijambazi kabisa huu...🤣
mkuu ni utani tuNakuta sooon
Nilikosea kutyp mkuumkuu ni utani tu
huu ni mkono wa mtu kazi 😀Mi ndo maana sipendagi kufatilia huu uzi ona mtu anamkono wakijambazi kabisa huu...🤣
Hakuna jambo mkuuhuu ni mkono wa mtu kazi 😀
Vinjunga ndio nn? SamahaniVinjuga au sio siku moja moja sio mbaya mkuu
Pensi kwa lugha ya kimasakiVinjunga ndio nn? Samahani