Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

Mmakonde anaachia ngoma fulani tamu sana. Ngoma kadhaa nimesikiliza na kuzipenda.

Mama
Wote
Tena
Zanzibar
Fall in love
Unanimaliza ft blue
Kuna ile kwenye uzinduzi Kikwete akaomba irudiwe.
Ameloa
Kuna mbili anazungumzia kutoka kwao moja anataja chitoholi, nyingine sina stamina wapo kwenye video.
Juzi nimesikia kakipande, kitu kama furaha yangu ni wewe.
Kuna ile kama mnanda fulani hivi.
Verse alizoimba kwenye ngoma ya ibra nyimbo sikumbuki, vixen ni giggy money,
Ngoma alishirikishwa na mario,
Na kuna ngoma alishirikishwa na mkenya simjui jina.
Kuna moja kamuimbia sijuk ni wolper sijui yupi, kamix na kimakonde

Mjomba nchumali muandishi mzuri sana, ila mawenge mnoo 😂🤣
 
Ina itwa furaha ni kali kinyama, shida Hana manager mwenye akili ila Lina jua sana.
 
kwani hata wakibana pua, lakini mashairi/lyrics yanasikika na kueleweka, kuna shida gana? :DESKCHAN:
Niliuliza hilo swali kwenye thread ya beef ya Master J na Ali Kiba, lakini mpaka sasa sijapata jibu.
 
Mmakonde anaachia ngoma fulani tamu sana. Ngoma kadhaa nimesikiliza na kuzipenda.

Mama
Wote
Tena
Zanzibar
Fall in love
Unanimaliza ft blue
Kuna ile kwenye uzinduzi Kikwete akaomba irudiwe.
Ameloa
Kuna mbili anazungumzia kutoka kwao moja anataja chitoholi, nyingine sina stamina wapo kwenye video.
Juzi nimesikia kakipande, kitu kama furaha yangu ni wewe.
Kuna ile kama mnanda fulani hivi.
Verse alizoimba kwenye ngoma ya ibra nyimbo sikumbuki, vixen ni giggy money,
Ngoma alishirikishwa na mario,
Na kuna ngoma alishirikishwa na mkenya simjui jina.
Kuna moja kamuimbia sijuk ni wolper sijui yupi, kamix na kimakonde

Mjomba nchumali muandishi mzuri sana, ila mawenge mnoo 😂🤣
anajua msenge huyu sio wakumbeza kwenye wote kiitikio kaua alafu na ile yupo na marioo naogopa khaaaa balaa tupu
 
Kuna sehemu mjomba nchumali anafeli, ni muandishi mzuri na melody kali lakini muziki wake hauna ukubwa stahiki.
Mkuu,

Nilikuwa nafikiri hivihivi lakini nikaona ngoja nikae kimya nisije kuambiwa nina bias.

Lakini, kwa sababu wewe umelianzisha hili, nataka kukuunga mkono.

Na kabla sijashambuliwa na mashabiki, this has got nothing yo do with talent.

Mimi naona kuna mambo ya management, exposure na mixing/arrangement ya muziki zaidi kuliko talent ya msanii.

Ujue wenzetu ndiyo maana wana watu wengi sana sana utaambiwa huyu producer, huyu mixer, huyu sound engineer, huyu arranger, halafu sisi tunachukulia poa mtu mmoja anaweza kufanya kazi zote hizo.

Yani unaweza kupiga ala zote sawa, ukaimba sawa, kashehe ikaja kwenye mixing and arranging chombo gani kianze, wapi chombo gani kiwe muted wapi, flow ya wimbo iendeje, bridge ikae wapi, chorus ikae wapi, harmony ikae wapi. Identity ya wimbo ijulikane kwa chombo kipi.

Hapo panahitaji utaalamu wa hali ya juu.
 
Niliuliza hilo swali kwenye thread ya beef ya Master J na Ali Kiba, lakini mpaka sasa sijapata jibu.
kubana pua sana kunapoteza ladha halisi ya melody ndyo maana unaona kwa wale ambao hawabani pua afu wapo talented na vocal wanakitoa mikito inaita inakua na melody pureeeee
 
Mkuu,

Nilikuwa nafikiri hivihivi lakini nikaona ngoja nikae kimya nisije kuambiwa nina bias.

Lakini, kwa sababu wewe umelianzisha hili, nataka kukuunga mkono.

Na kabla sijashambuliwa na mashabiki, this has got nothing yo do with talent.

Mimi naona kuna mambo ya management, exposure na mixing/arrangement ya muziki zaidi kuliko talent ya msanii.

Ujue wenzetu ndiyo maana wana watu wengi sana sana utaambiwa huyu producer, huyu mixer, huyu sound engineer, huyu arranger, halafu sisi tunachukulia poa mtu mmoja anaweza kufanya kazi zote hizo.

Yani unaweza kupiga ala zote sawa, ukaimba sawa, kashehe ikaja kwenye mixing and arranging chombo gani kianze, wapi chombo gani kiwe muted, flow ya w8mbo iendeje, bridge ikae wapi, choris ikae wapi, harmony ikae wapi.

Hapo panahitaji utaalamu wa hali ya juu.
hapo ndyo bro wao almasi anapiga gap kwenye management na ubunifu pia
 
kubana pua sana kunapoteza ladha halisi ya melody ndyo maana unaona kwa wale ambao hawabani pua afu wapo talented na vocal wanakitoa mikito inaita inakua na melody pureeeee
Lakini soko ndilo linaloamua na msanii ana uhuru wa kubana pua, mashabiki wakioenda ndiyo inakuwa style yake hiyo.

Watu wametumia mpaka autotune na zimewatoa na kuna watu wamependa, itakuwa kubana pua tu?

Culture evolves.
 
Back
Top Bottom