Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

Sema hii ngoma Harmonize aliandika tuache masihara

Lakini soko ndilo linaloamua na msanii ana uhuru wa kubana pua, mashabiki wakioenda ndiyo inakuwa style yake hiyo.

Watu wametumia mpaka autotune na zimewatoa na kuna watu wamependa, itakuwa kubana pua tu?

Culture evolves.
mhimu melody kali ausio
 
Nitaubeba-hii ngoma napendaga sana kuisikiliza na siichoki

"ukiondoka nitabaki na nani,na nikiondoka utabaki na nani"

Wapo-huu napendaga sana kuutazama na kuusikiliza,video yake huwa inanikosha sana,nashindwa hata kuelewa iliwezekanaje na basata hawakuigusa

Kuna hii inaitwa wenyewe huyu mjinga hapa aliuwa,cha ajabu haikuhit sana
 
iyo ulo quote inaitwa wote mkuu
 
mhimu melody kali ausio
Unaweza kuwa na melody kali lakini wimbo unavyoanza mtu akafikiri anasikikiza classical music, baadaye akachanganywa kwenye amapiano, na kuishia kwenye mnanda, kwa namna ambayo haieleweki.

Kila kitu kina melody kali lakini araangement hai make sense.
 
mwenyewe ndyo ipi iyo mbona siijui hii afu guys mnai-appriciate kiasi emu ngoja niisikilize
Hii mwenyewe kuna verse sijui chorus anasema " basi kamata chupa fungua na mimina eeeeh, lewa tukuone unavyocheza kichina"
Kwingine anasema " tajiri na wanae masikini na mali zake, asiye na shida nawe muache aende zake:"
Sema Harmo akiacha bangi atakuwa mkali sana😁😁

Kaisikilize sasa
 
hii nimeipata hahahhah kali hiiii biti na melody vime-match kabsaaaaa huyu msenge anajua
 
Mmakonde anaachia ngoma fulani tamu sana. Ngoma kadhaa nimesikiliza na kuzipenda.

Mama
Wote
Tena
Zanzibar
Fall in love
Unanimaliza ft blue
Kuna ile kwenye uzinduzi Kikwete akaomba irudiwe.
Ameloa
Kuna mbili anazungumzia kutoka kwao moja anataja chitoholi, nyingine sina stamina wapo kwenye video.
Juzi nimesikia kakipande, kitu kama furaha yangu ni wewe.
Kuna ile kama mnanda fulani hivi.
Verse alizoimba kwenye ngoma ya ibra nyimbo sikumbuki, vixen ni giggy money,
Ngoma alishirikishwa na mario,
Na kuna ngoma alishirikishwa na mkenya simjui jina.
Kuna moja kamuimbia sijuk ni wolper sijui yupi, kamix na kimakonde

Mjomba nchumali muandishi mzuri sana, ila mawenge mnoo 😂🤣
Kuna NGOMA TUNDAMAN kaimba na HARMO_ BADMAN (MTU MBADI).

huu wimbo napenda kusikiliza Sana verse ya harmonizer..

Verse.
Ukienda kwa mganga ukitaja jina langu utaambiwa nimekufa / nimezikwa wewe weka matanga...Na utakula kitakacho pikwa.

Sisi tulisha penya Hadi.. TUNDU la sindano..lengo kutimiza ndoto na sio mashindano...
 
Hii mwenyewe kuna verse sijui chorus anasema " basi kamata chupa fungua na mimina eeeeh, lewa tukuone unavyocheza kichina"
Kwingine anasema " tajiri na wanae masikini na mali zake, asiye na shida nawe muache aende zake:"
Sema Harmo akiacha bangi atakuwa mkali sana😁😁

Kaisikilize sasa
Bila Bangi hawezi kupata mzuka energy ya kutoa madude makali makali Kama haya.

Wasanii wengi hutumia vilevi kusisimua akili na kutoa madude konki.
 
Kuna NGOMA TUNDAMAN kaimba na HARMO_ BADMAN (MTU MBADI).

huu wimbo napenda kusikiliza Sana verse ya harmonizer..

Verse.
Ukienda kwa mganga ukitaja jina langu utaambiwa nimekufa / nimezikwa wewe weka matanga...Na utakula kitakacho pikwa.
kuna ile verse yake nyingine ndyo balaa tupu
''siku zote tembo waga mpole nimeshapita hadi tundu la sindano ''
 
Back
Top Bottom