Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Ukishamtongoza ile heshima mwanamke aliyokua anakupa mwanzo haiwezi kuwepo tena huo ndio ukweli, sijui mmelelewa mazingira gani ila nahisi makuzi yenu hamjafunzwa kuhusu heshima kwa wanawake.
Hapana Mariposa huo ni mtazamo tu hasa kwenu wanawake. Sioni sababu ya kumshushia mtu heshima baada ya mtongozo, labda akikutongoza kwa namna ya yeye kukuvunjia heshima ila km kaja kwa kujiheshimu no problem
 
Kwa ulichokisema hapa hata kama ni cha ukweli ila umekosea kutujumuisha wote hadi na mumeo mpaka na babangu. Yaani huyo mtu na ni wewe unamjua mwenyewe unasema ati wanaume. Hii vita sioni ikiisha leo maana kama unatongozwa na juma na wewe hutaki au haupo tayari afu unakuja kusema juma kachukua tabia yetu sote wanaume, basi ndio maana single mothers bongo ni wengi na wanadharaulika kwa sababu ya kauli. Konyagi tamu
 
Kwani ubaya wake ni nini hapo?
 
Dah Nyege mbaya sana.

Jamaa mpaka anaambiwa nimeletwa na Mr. Hajishtukii tu kua Dili limeingia mchanga πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…