Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Umesema kuna watu wengine uliwaelekeza kwa huyo jamaa na akawasaidia,

Katika hao watu waliosaidiwa,kama kua Wanawake,jaribu kuwauliza kama alishawafanyia huo mchezo ambao wewe unahisi alitaka kukufanyia,

Majibu yao yatakupa picha kamili ya nia ya huyo jamaa.
Sikuwahi kuwaza hili pia
Ndio umenifungua fikra ngoja nitawauliza🤔
 
Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,.

Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza.

Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba ( yuko around 30-36yrs ),. Ni mtu ambae nimefahamiana nae kama miaka mi3 hivi nyuma ni mtumishi wa Umma na nilikutana nae kazini kwake.

Kutokana na kwamba alinisaidiaga basi nikawa nawasiliana nae japo sio sana ile ya kawaida tu ya kusalimiana,. Nitawaelekeza watu kwake wataenda atawasaidia basi.

Huu mwaka kuanzia January niliona kama ameongeza kasi hivi ya kunitafuta tafuta. Atanisalimia baada kama ya wiki mbili hivi au tatu atanipigia tena au kuniomba ushauri au anaweza akaja tu mada yoyote ile tutazungumza itaisha,.

Hivyohivyo hadi siku moja akawa amenipigia simu usiku sikupokea nikaja kumpigia asubuhi yake hapa ndio tatizo liliko anzia.

Nilivyomrudia Asubuhi kuuliza kulikoni simu usiku na sio kawaida yake. Akaniambia Lee nina tatizo naomba nikushirikishe tushaurine,. Nikamwabia sawa ongea nakusikiliza akasema hapana anataka tuongee ana kwa ana.

Tatizo mie ratiba zangu ni ngumu nowdays huwa siendi mjini mara kwa mara nikamwambia kama ni hivyo basi subiri siku nikija mjini nitakustua tukutane tuongee ila tu uwe na subira. Tukaelewana ikaisha hivyo.

Zikapita kama siku4 nikawa na ratiba ya kwenda mjini kabla sijatoka nyumbani nikampigia nimwambie kama atakua na nafasi tuonane tuzungumze akasema sawa ukishamaliza ratiba zako utaniambia ulipo nikufuate,. Nilivyomaliza nikaona niende restaurant iliyo karibu na ofisi yao ili asisumbuke sana maana ilikua bado mapema asubuhi mda wa kazi.

Nikamwambia nimefika uje sasa,. Akasema hayupo ofisini kuna mahali yupo mimi niende nimfate hataki kuonekana mazingira ya kazini mda wa kazi. Nikamwambia nielekeze basi nije kama sio mbali sana akasema ni mbali kidogo kwa kunielekeza sitapajua nikamuuliza sasa tunafanyaje?

Akauliza kwanza umekuja na usafiri gani,. Nikamwambia ni Mr ndio amenileta na nilimwambia naonana na mtu mara moja tukishamaliza kuzungumza nimpigie aje anirudishe nyumbani.

Akasisitiza basi naomba uchukue boda uje nimwelekeze boda atapajua mie mazingira ya hapo mjini naogopa nisijepishana na watu wa kazini mda wa kazi sio vizuri,,. HADI HAPO KWANZA NILISHAKASIRIKA ILA TU KWA HESHIMA YAKE NIKASEMA NGOJA NIENDE

Akamwelekeza boda tumefika kumbe ni Lodge iko pembeni pembeni huko,. Yaani ni yale mazingira ambayo hamna hata kaeneo ka kusema watu wanaweza kukaa,. Lipo tu geti naona ndio la kuingia ndani moja kwa moja,.

Nikamuuliza boda ndio hapa akasema ndio ameelekeza nikulete hapa, nikampigia simu namuuliza anasema ee niko hapa ingia tu utanikuta hapa ndani kuna kama kagarden tunaweza kukaa kuongea na wakati mtu naona kabisa ukuta wa fensi karibu ugusane kabisa na ukuta wa jengo hiyo garden imekaaje kaaje Looh,. Aisee kwanza nilichoka sikumtegemea nikakata tu simu nikamwambia boda tugeuze turudi ,..

Kiukweli niliwaza mambo mengi,. Na nilimtafakari sana nikamkosea majibu maana ni mtu nilikua namuheshimu sana yaani mnoo na hafananii na alichotaka kukifanya,. Though mwenyewe alikua anatuma meseji nyingi za kujitetea sijui na nini na simu zake sikuwa nashika na sijawahi kupokea hadi leo ,.

Ila wanaume🙌🏻🙌🏻
😀😀 aisee
 
Pole Sana, Duniani Kuna Mambo
Bado Mengine Hatujayaona Tuwe Na Subira, Uvumilivu
Kama Jiwe Alivyokuwa Anavaa Pajama Halafu Saa Sita Usiku Unawatembelea Viongozi Wa Kike Wenye Waume Zao Inaleta Ukakasi
 
Domo zege lingine limetutia aibu huko nyumbani .

Mambo ya kunyoosha maelezo nakupenda ukajibiwa sikupendi au nakupenda pia ukaanza kuhudumia au kufuta namba lenyewe linataka kuleta mambo ya miaka ya sabini na wamama wavaa kanga likupange likudandie kwa lazima.

Wewe mtumishi kama upo hapa ,ukome kufanya mambo kienyeji kabisa msomi uchwara kabisa
 
Jamaa anaonekana katitaki ni m'bovu sana anategemea mashambilizi ya kustukiza,.....yani hajaonyesha interest yoyote, hajawahi kukuambia chochote yeye moja kwa moja Lodge
Na alivo fala unaweza kuta alishalipia room
Ni gubumunda kabisa Hugo kumwamba wanawake wa kufanya hivyo labda under 18
 
Ndio acha kabisa!. Kama Mr wako yupo committed na wewe,never disappoint him anyhow. Epuka wahuni.
Hili neno kabisa ,sisi wanaume wengi maneno kama my ,kipenzi ,dear ikituita basi tunawaza ngono tu ni hapo ukiitwa tayari unaanza kuhisi umependwa kumbe ni ustaarabu wa mtu .

Sasa jichanganye utongoze kama Gudy tunapeperushwa kama upepo tunabaki kuona aibu
 
Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivo
Hii ndo shida ya mwanaume kuwa na ukaribu na mwanamke ambae anakuvutia, ilhali mdada anakuona wa kawaida.

Mimi nakua na urafiki na wadada ambao muonekano wao haunivutii kwa chochote, hata akilala uchi na tupo chumba kimoja sishtuki, inasaidia mtu unakua na clear thoughts Leejay49
 
Jamaa nae alikuwa ana haraka sana.

Ilitakiwa awe mpole.
Hapo mngekutana sehemu ya wazi kama mara mbili hivi.
Halafu anaanza kukusogeza taratibuuu kama vile hataki/ au bahati mbaya.
Mkutane sehemu kama hiyo.

Wanawake wana tabia ya kumuamini mtu.
Mdogomdogo labda angebahatisha.

Kwa upande wako hongera kwa kukwepa kishawishi( ila kilikuwa chepesi)
Nawaza pia huyo mumeo akijua ulienda kukutana na njema pembezoni. Atafikiriaje,
 
Back
Top Bottom