Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 7,018
- 17,932
Dah! imenibidi nicheke, ni kwanini unasema hivi Leejay?Hao waaminifu kwenye 100 basi ni watatu nao ni ndugu zako

Pokea basi simu zangu kipenz 😊Me huwa siblock mtu,. Namuignore tu
Akipiga sipokei atatuma limeseji lirefu sijibu kama WhatsApp nasoma halafu nakaa tu kimya,.
Pamoja na yoooteeHello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,.
Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza,…….
Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba ( yuko around 30-36yrs ),. Ni mtu ambae nimefahamiana nae kama miaka mi3 hivi nyuma ni mtumishi wa Umma na nilikutana nae kazini kwake ,. Kutokana na kwamba alinisaidiaga basi nikawa nawasiliana nae japo sio sana ile ya kawaida tu ya kusalimiana,. Nitawaelekeza watu kwake wataenda atawasaidia basi,….
Huu mwaka kuanzia January niliona kama ameongeza kasi hivi ya kunitafuta tafuta,. Atanisalimia baada kama ya wiki mbili hivi au tatu atanipigia tena au kuniomba ushauri au anaweza akaja tu mada yoyote ile tutazungumza itaisha,. Hivyohivyo hadi siku moja akawa amenipigia simu usiku sikupokea nikaja kumpigia asubuhi yake hapa ndio tatizo liliko anzia…….
Nilivyomrudia Asubuhi kuuliza kulikoni simu usiku na sio kawaida yake ,. Akaniambia Lee nina tatizo naomba nikushirikishe tushaurine,. Nikamwabia sawa ongea nakusikiliza akasema hapana anataka tuongee ana kwa ana,. Tatizo mie ratiba zangu ni ngumu nowdays huwa siendi mjini mara kwa mara nikamwambia kama ni hivyo basi subiri siku nikija mjini nitakustua tukutane tuongee ila tu uwe na subira,. Tukaelewana ikaisha hivyo…
Zikapita kama siku4 nikawa na ratiba ya kwenda mjini kabla sijatoka nyumbani nikampigia nimwambie kama atakua na nafasi tuonane tuzungumze akasema sawa ukishamaliza ratiba zako utaniambia ulipo nikufuate,. Nilivyomaliza nikaona niende restaurant iliyo karibu na ofisi yao ili asisumbuke sana maana ilikua bado mapema asubuhi mda wa kazi,.
Nikamwambia nimefika uje sasa,. Akasema hayupo ofisini kuna mahali yupo mimi niende nimfate hataki kuonekana mazingira ya kazini mda wa kazi,. Nikamwambia nielekeze basi nije kama sio mbali sana akasema ni mbali kidogo kwa kunielekeza sitapajua nikamuuliza sasa tunafanyaje??,. Akauliza kwanza umekuja na usafiri gani,. Nikamwambia ni Mr ndio amenileta na nilimwambia naonana na mtu mara moja tukishamaliza kuzungumza nimpigie aje anirudishe nyumbani,. Akasisitiza basi naomba uchukue boda uje nimwelekeze boda atapajua mie mazingira ya hapo mjini naogopa nisijepishana na watu wa kazini mda wa kazi sio vizuri,,. HADI HAPO KWANZA NILISHAKASIRIKA ILA TU KWA HESHIMA YAKE NIKASEMA NGOJA NIENDE
Akamwelekeza boda tumefika kumbe ni Lodge iko pembeni pembeni huko,. Yaani ni yale mazingira ambayo hamna hata kaeneo ka kusema watu wanaweza kukaa,. Lipo tu geti naona ndio la kuingia ndani moja kwa moja,. Nikamuuliza boda ndio hapa akasema ndio ameelekeza nikulete hapa, nikampigia simu namuuliza anasema ee niko hapa ingia tu utanikuta hapa ndani kuna kama kagarden tunaweza kukaa kuongea na wakati mtu naona kabisa ukuta wa fensi karibu ugusane kabisa na ukuta wa jengo hiyo garden imekaaje kaaje Looh,. Aisee kwanza nilichoka sikumtegemea nikakata tu simu nikamwambia boda tugeuze turudi ,..
Kiukweli niliwaza mambo mengi,. Na nilimtafakari sana nikamkosea majibu maana ni mtu nilikua namuheshimu sana yaani mnoo na hafananii na alichotaka kukifanya,. Though mwenyewe alikua anatuma meseji nyingi za kujitetea sijui na nini na simu zake sikuwa nashika na sijawahi kupokea hadi leo ,.
Ila wanaume🙌🏻🙌🏻
View attachment 3633470View attachment 3633471
mbona mimi sina shida Lamama😊 niko loyal sanaWanaume hawaaminiki kabisa na sio wa kuwaamini.
Jamaa yuko serious sana kwenye mawindo yake.Kwakweli
Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,.

Sema baadhi ya wanaume mkuu... wengine hatuna hatia kabisa!Wanaume hawaaminiki kabisa na sio wa kuwaamini.
Huyu naona alitaka kimasihara labda,. Maana hakuwahi kunitongoza na hakukuwa na ukaribu huo wa kutongozanaMnakuza mambo.
Hayo mambo yapo toka enzi za mababu zetu.
Wanawake wengi tu wanatongozwa hadi na viongozi wa dini, sembuse wasio viongozi wa dini!