leo dada
JF-Expert Member
- Oct 26, 2023
- 3,871
- 19,204
Sema baadhi ya wanaume mkuu... wengine hatuna hatia kabisa!
Ni kweli kabisa,, na pia kila mwanaume ana umuhimu wake.
Sema baadhi ya wanaume mkuu... wengine hatuna hatia kabisa!
HahahaJamaa anaonekana katitaki ni m'bovu sana anategemea mashambilizi ya kustukiza,.....yani hajaonyesha interest yoyote, hajawahi kukuambia chochote yeye moja kwa moja Lodge
Na alivo fala unaweza kuta alishalipia room
mbona mimi sina shida Lamama😊 niko loyal sana
Hapo sawa mkuu... kidogo nisikitike how come tukosekana hata wakutuwakilisha!Ni kweli kabisa,, na pia kila mwanaume ana umuhimu wake.
Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivoJamaa nae analia lia sana 😊😊😊😊
Kataja Lilian mara mia mia.
Ningekuwa mm ningehairisha kukutana na ww pale uliposema umepelekwa mjin na Mr na atakupitia.
Ili nijipange vizur au niahirishe😎😎😎
Huwezi kuutumia Mua kama fimbo ya kutembelea,Wanaume hawaaminiki kabisa na sio wa kuwaamini.
Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivoJamaa nae analia lia sana 😊😊😊😊
Kataja Lilian mara mia mia.
Ningekuwa mm ningehairisha kukutana na ww pale uliposema umepelekwa mjin na Mr na atakupitia.
Ili nijipange vizur au niahirishe😎😎😎
indeedBasi wewe ni mmoja kati ya wachache mnooo
Hapo sawa mkuu... kidogo nisikitike how come tukosekana hata wakutuwakilisha!
Ni unafiki tu.Na bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohivo
NisameheNa bado analia lia hadi kesho,. Nikipost hata status anareply kwa vilio vyake vya msamaha hivohiv
Aliondoka kazini kwake na kwenda kuandaa mazingira ya huko,.Nimeisoma mada ila ni ngumu kumuhukumu huyo jamaa moja kwa moja kua alikua na nia mbaya,
Huenda alikua na kazi maeneo hayo,ndio ikabidi achague hapo mkutane,
Kama amesema yupo tayari upange eneo lingine ili umsikilize,basi huenda ana hoja,
Hata kama alikua na nia mbaya,inaonekana anajutia nia yake,na anajutia kuharibu uhusiano na heshima kati yenu,
Kwa upande wako,
Ulichukua maamuzi sahihi,kwani wasiwasi ndio akili,
Pia sidhani kama kulikua na umuhimu sana wa kuweka hizo chatting zenu coz ni rahisi mtu kuzi trace au muhusika kukujua.
Huwezi kuutumia Mua kama fimbo ya kutembelea,
Siku ukipata njaa utautafuna tu,
Urafiki wa Mwanamke na Mwanaume sio kwa Wamatumbi.
Inawezekana tu ukiwa na Roho wa MUNGU hata kama aje alivyozaliwa anatambaa hashindwi mtu hapa.Sema nyie kuishinda tamaa kwenu ni kazi mnoo
Kwakweli niliona hilo pia,.Ni unafiki tu.
Ogopa sana Mwanaume ambaye ushamuambia au anajua kabisa kuwa una Mahusiano alaf bado akakutongoza.
ninachojua Mwanamke akivutiwa na ww bas ataficha mahusiano yake.
Sasa ww umeshamchana kuwa Mr yuko around alaf jamaa akaendelea kuset mazingira ya Kukutaka.
Huyo Hakuheshim hata kidogo.