Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

Ukweli mtupu.

Sema mie wa hivi zamani nilikuwaga nawaweka benchi asubiri sub yake maana maisha ya mbeleni huwa hatuyajui.
Daaah
Lil nae aliset safari ya gafla ili akaonane na mshikaji

Ila na sisi wanaume tuwe makini unaweza kuwa unampeleka mke wako shopping taun kumbe anaenda kumegwa😊 na kuonana na wahuni je lili angeingia kwenye hio GADENI Ingekuaje??
Noma sana,
 
Jesus😫😫

Ilikua ni safari ya muhimu jamani,. Nilizingatia tu kwasabu alisisitiza sana
 
Mwanaume gani anaandika msg kama punga, kwanza mwanaume anayejiamini hana kona kona. Halafu kakudharau, kajua ni mke wa mtu ndio maana alitaka kukupeleka mafichoni.
 
Back
Top Bottom