Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

_20231202_110459.JPG
 
Degree zenye maana ni zile zimebase kwenye kitu mahususi tuu kama ulivyosema udaktari, ualimu, engineering yenyewe inakuja inakataa hivi.

Hizi nyingine sijui Human resource, public administration ni utapeli tuu ndo zinatuzalishia wakina february.
Labda wabadili content lakini hadi sahivi zimeprove nothing uraiani.
 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Mkuu kama ulienda chuoni kukariri notes hapo sawa.....

Mm nilienda chuo kusoma Ili niweze kuya tawala maisha yangu 😊 kuziona fursa na kucheza nazo Ili kujipatia kipato na ndicho nacho kifanya Kwa Sasa japo nilichelewa kujua....

Any professional is a scam kama muusika ataamua kukariri notes na kuacha kutumia mbongo yake kuweza kuchekecha pumba na mchele...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
 
Mm nilienda chuo kusoma Ili niweze kuya tawala maisha yangu [emoji4] kuziona fursa na kucheza nazo Ili kujipatia kipato na ndicho nacho kifanya Kwa Sasa japo nilichelewa kujua....

Any professional is a scam kama muusika ataamua kukariri notes na kuacha kutumia mbongo yake kuweza kuchekecha pumba na mchele...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
Kutawala maisha hakuhitaji degree mkuu elimu ya kutawala maisha ni form 4 au form 6
 
Mkuu kama ulienda chuoni kukariri notes hapo sawa.....

Mm nilienda chuo kusoma Ili niweze kuya tawala maisha yangu 😊 kuziona fursa na kucheza nazo Ili kujipatia kipato na ndicho nacho kifanya Kwa Sasa japo nilichelewa kujua....

Any professional is a scam kama muusika ataamua kukariri notes na kuacha kutumia mbongo yake kuweza kuchekecha pumba na mchele...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
Degree hizi kwenye UE unaambiwa umuelezee Henry Fayol as the father of management?
sasa huko +267 unaturingishia au?
 
Degree zenye maana ni zile zimebase kwenye kitu mahususi tuu kama ulivyosema udaktari, ualimu, engineering yenyewe inakuja inakataa hivi.
Hizi nyingine sijui Human resource, public administration ni utapeli tuu ndo zinatuzalishia wakina february.
Labda wabadili content lakini hadi sahivi zimeprove nothing uraiani.
Hata engineering yenyewe ni kizungumkuti huwezi somesha electrical engineer hafu anakuja kufanya wiring. Au mechanical engineer anakuja kufungua gerage na civil engineer anakuja kua mchora ramani.
 
Sina degree mkuu ila kiukweli sikuwahi kupenda degree baada ya kuona hata ninavyo visoma advance kwenye real kama hivipo hivi.
Ulisoma arts labda, ila kama ulisoma science vitu kama Benzene, electronics na bios mbona viko kwenye reality.

Kumbe mzee huna degree ndo maana unahisi wenye degree tumesomea ujinga?
Najuta kuku-support.
 
Hata engineering yenyewe ni kizungumkuti huwezi somesha electrical engineer hafu anakuja kufanya wiring. Au mechanical engineer anakuja kufungua gerage na civil engineer anakuja kua mchora ramani.
Hao ni wachache kati ya wengi, mbona wengi tuu wako kwenye makampuni makubwa ya construction.
 
Ulisoma arts labda, ila kama ulisoma science vitu kama Benzene, electronics na bios mbona viko kwenye reality.

Kumbe mzee huna degree ndo maana unahisi wenye degree tumesomea ujinga?
Najuta kuku-support.
Vingi viko in nature lazima uwingie lab uvilete kwenye maisha ya kawaida
 
Back
Top Bottom