Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Mkuu kama ulienda chuoni kukariri notes hapo sawa.....

Mm nilienda chuo kusoma Ili niweze kuya tawala maisha yangu 😊 kuziona fursa na kucheza nazo Ili kujipatia kipato na ndicho nacho kifanya Kwa Sasa japo nilichelewa kujua....

Any professional is a scam kama muusika ataamua kukariri notes na kuacha kutumia mbongo yake kuweza kuchekecha pumba na mchele...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
+267 code ya wapi mkuu?
 
Naungana na wewe kabisa, Ni Leo Asubuhi nimetoka kuongea na Dogo moja anasoma Degree ya Utawala Sijui na mavitu Gani ndio intake mpya, Mkopo amekosa mama yake anapambana na kukopa ili dogo asome kwa kuuza mgahawa mpaka unaona huruma🥲, akimaliza aje kupaki mpira home Tena.
 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.

Na degree za engineering pia umezisahau hasa hasa Civil Engineering kidogo na Electrical Engineering.

Mechanical engineering ya bongo ni utapeli tu. Kazi wanazozifanya ni zile zile zinafanywa na mafundi ambao hawajaenda shule.

Engineering zingine zote kwa bongo ni degree za kitapeli tapeli tu
 
Mkuu kama ulienda chuoni kukariri notes hapo sawa.....

Mm nilienda chuo kusoma Ili niweze kuya tawala maisha yangu 😊 kuziona fursa na kucheza nazo Ili kujipatia kipato na ndicho nacho kifanya Kwa Sasa japo nilichelewa kujua....

Any professional is a scam kama muusika ataamua kukariri notes na kuacha kutumia mbongo yake kuweza kuchekecha pumba na mchele...

Wasalaam
Kwa Sasa +267
Kama msomi wa chuo kikuu unaandika namna hii, mleta mada hajakosea kuziponda degree.
 
Na degree engineering pia hasa hasa Civil Engineering kidogo na Electrical Engineering.

Mechanical engineering ya bongo ni utapeli tu. Kazi wanazozifanya ni zile zile zinafanywa na mafundi ambao hawajaenda shule.

Engineering zingine zote kwa bongo ni degree za kitapeli tapeli tu
Kidogo civil japo nayo Kwa mambo wanayo ya fanya hapo bongo ni basic sana ukilinganisha na vya ulaya
 
Back
Top Bottom