Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Poa mkuu bongo nyoso ipo siku nitajilipua huko.Yes mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuu bongo nyoso ipo siku nitajilipua huko.Yes mkuu
Wewe ilo jipu lako litakua kwenye mbupu zako au kwenye Anal Ako 😂😂😂😂😂Kama msomi wa chuo kikuu unaandika namna hii, mleta mada hajakosea kuziponda degree.
Wewe ilo jipu lako litakua kwenye mbupu zako au kwenye Anal Ako 😂😂😂😂😂Kama msomi wa chuo kikuu unaandika namna hii, mleta mada hajakosea kuziponda degree.
Wewe una hasira ya kutokuwa na degree. Inaonyesha ni jambo linalokutesa sana. Hujachelewa nenda chuo kasome. Hata mimi huwa nateseka kisaikolojia nikikumbuka mwaka 2015 niliacha kwenda UDSM kusoma masters na kuamua kujikita kwenye biashara. Hadi leo sijaweza kurudi kusoma. Ila Mungu akipenda nitaenda kusoma hiyoSina degree mkuu ila kiukweli sikuwahi kupenda degree baada ya kuona hata ninavyo visoma advance kwenye real kama hivipo hivi.
Sawa mkuu ila bongo hapo fursa nyingi sana..Poa mkuu bongo nyoso ipo siku nitajilipua huko.
Ni noma kwa kitu gani?Kuna jamaa nimewaona mkuu wakutoka chuo hicho ni noma tu mkuu.
Hasira ya kwenda kuchukua madeni? Kama ndio degree hizo zinawafanya muwe Hadi machawa hata hiyo master Bora mungu asikupe tu.Wewe una hasira ya kutokuwa na degree. Inaonyesha ni jambo linalokutesa sana. Hujachelewa nenda chuo kasome. Hata mimi huwa nateseka kisaikolojia nikikumbuka mwaka 2015 niliacha kwenda UDSM kusoma masters na kuamua kujikita kwenye biashara. Hadi leo sijaweza kurudi kusoma. Ila Mungu akipenda nitaenda kusoma hiyo
Hawajailiki, nakujiajiri ni mbinde sana.Ni noma kwa kitu gani?
Elimu haijawahi kuwa na mbadala wake. Hata uwe bilionea kama huna elimu bado utaishia kuwa na hasira kama hizi zako. Huoni wenzako Msukuma na Babutale imebidi wanunue udokta wa mchongo? Nenda kasome hujachelewa.Hasira ya kwenda kuchukua madeni? Kama ndio degree hizo zinawafanya muwe Hadi machawa hata hiyo master Bora mungu asikupe tu.
Maneno makali mkuu, wenye degree za uhandisi wasio na kazi za maana ni wengi, hii inaweza ikakupa picha kuwa hizi degree ni useless, we jiulize, hii platform uliyotumia kupost, imetengenezwa na engineer, tena sio wa IT, wa civil!Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.
Mbona wewe ulikimbia mkuu?Sawa mkuu ila bongo hapo fursa nyingi sana..
Exposure ni muhimu sana pia connection ni za muhimu sanaaa mazingira pia yana mchango mkubwa sana kumfanya mtu afanikiwe au asifanikiwe...
Sawa ila ni Elimu sahihi inayoendana na mazingira hafu elimu sahihi sio hayo madegree yasio na kazi wala kuweza kubadilisha Hali mbaya ya nchi za Africa. Hafu kitu kingine ambacho hukijui mapokeo ya elimu yapo ya aina nyingi siyo tu hiyo ya kukaa darasani nahiyo ya kukaa darasani ni Kati njia dhaifa sana ila ni rahisi kupata elimu.Elimu haijawahi kuwa na mbadala wake. Hata uwe bilionea kama huna elimu bado utaishia kuwa na hasira kama hizi zako. Huoni wenzako Msukuma na Babutale imebidi wanunue udokta wa mchongo? Nenda kasome hujachelewa.
Kazi ya degree holder wa engineering sio kufanya maintenance ndio maana nimekwambia mmetapeliwaManeno makali mkuu, wenye degree za uhandisi wasio na kazi za maana ni wengi, hii inaweza ikakupa picha kuwa hizi degree ni useless, we jiulize, hii platform uliyotumia kupost, imetengenezwa na engineer, tena sio wa IT, wa civil!
Ukipata muda tembelea data centre za tigo,Vodacom(moja IPO Dodoma uzunguni), au nenda migodini, uone wahandisi wa bongo wanavyochapa kazi, kuweka miundombinu sawa, sasa wewe upo nanyumbu mtwara, unapiga cm kyelwa kagera, unajua cm yako inapita minara mingapi ili kufika? Je umeishawahi kuwa ona wanao fanya maintenance ya hiyo miundombinu ya mawasialiano? Acha kabisa, wapo wahandisi(sekta binafsi) wanafanya makubwa,
Inawezekana hatujafika hatua ya kutengeneza bidhaa zetu kama Toyota(Japan), Mahindra(India), Samsung(Korea), nk, lakini kwa, kufanyia maintenance vitu vilivyopo tunajitahidi.
Tulikimbia umande unamaanisha tuliishia sekondari au msingi kama ni hivyo nikwambie pole ninaelimu ya darasani ya kawaida ila inaweza ikawa ila inaweza ikawa zaidi ya degree nyingi tu ikiwezekana hata ya kwako.Ila mlio kimbia umande kutwa kutuanzishia nyuzi. Nani alikutuma uache kusoma?
Mbona sisi hatuwanangi, hatuwafungulii shule?
Mtupumzishe basi. Sisi tunajua elimu zetu zinatusaidia nn muhimu tukutane sheli
Huna degree halafu unaponda wenye degree. Wewe na hiyo elimu yako uliyo nayo kuna alama gani umeweka kwenye jamii? Usingekaa darasani ungejua kuandika hiki unachokiandika? Kama huna hela ya ada omba mchango ukasome. Au vyeti vyako vya Form four na six vina F nyingi?Sawa ila ni Elimu sahihi inayoendana na mazingira hafu elimu sahihi sio hayo madegree yasio na kazi wala kuweza kubadilisha Hali mbaya ya nchi za Africa. Hafu kitu kingine ambacho hukijui mapokeo ya elimu yapo ya aina nyingi siyo tu hiyo ya kukaa darasani nahiyo ya kukaa darasani ni Kati njia dhaifa sana ila ni rahisi kupata elimu.
Huyu jamaa ana hasira tu ya kutopata degree.Maneno makali mkuu, wenye degree za uhandisi wasio na kazi za maana ni wengi, hii inaweza ikakupa picha kuwa hizi degree ni useless, we jiulize, hii platform uliyotumia kupost, imetengenezwa na engineer, tena sio wa IT, wa civil!
Ukipata muda tembelea data centre za tigo,Vodacom(moja IPO Dodoma uzunguni), au nenda migodini, uone wahandisi wa bongo wanavyochapa kazi, kuweka miundombinu sawa, sasa wewe upo nanyumbu mtwara, unapiga cm kyelwa kagera, unajua cm yako inapita minara mingapi ili kufika? Je umeishawahi kuwa ona wanao fanya maintenance ya hiyo miundombinu ya mawasialiano? Acha kabisa, wapo wahandisi(sekta binafsi) wanafanya makubwa,
Inawezekana hatujafika hatua ya kutengeneza bidhaa zetu kama Toyota(Japan), Mahindra(India), Samsung(Korea), nk, lakini kwa, kufanyia maintenance vitu vilivyopo tunajitahidi.
Haitakaa itokee hicho unachosema. Wewe ni mtu mwenye elimu duni unayeonea wivu waliosoma. Punguza chuki na hasira. Jipange urudi shule. Kuwachukia waliosoma ni aina mojawapo ya uchawi.Tulikimbia umande unamaanisha tuliishia sekondari au msingi kama ni hivyo nikwambie pole ninaelimu ya darasani ya kawaida ila inaweza ikawa ila inaweza ikawa zaidi ya degree nyingi tu ikiwezekana hata ya kwako.
Huenda hiyo ya kwako ni DEGREE YA CENTIGRADE lakini Siyo DEGREE YA CHUO KIKUU!Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.