Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 854
- 1,296
- Thread starter
- #201
Mkuu Kwa comment hizi za Hawa wana wa jf bado tunasafari ndefu sana..Umenena sana mkuu hongera nataman waelewe nini tunamaanisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Kwa comment hizi za Hawa wana wa jf bado tunasafari ndefu sana..Umenena sana mkuu hongera nataman waelewe nini tunamaanisha
Hatusomi Ili kufanyia kazi Watu tunasoma Ili kuyamudu mazingira kutatua matatizo mbalimbali yanayotunazunguka.Una hoja za kitoto Sana wewe unafikiri kila amesoma ili afanye kazi Tanzania Kwa fikra duni Kama hizo lazima uponde Elimu
Hatusomi Ili kufanyia kazi Watu tunasoma Ili kuyamudu mazingira kutatua matatizo mbalimbali yanayotunazunguka.Una hoja za kitoto Sana wewe unafikiri kila amesoma ili afanye kazi Tanzania Kwa fikra duni Kama hizo lazima uponde Elimu
Mifumo mingine yote ya elimu ilishafeli ndio huu ukaonekana ni aafadhali na bora.Hapana ila Inahitaji elimu ambayo unaipata Kwa njia nyingi.
Na Sasa kuunda vitu ni moja ya maendeleo Sasa kwanini mkomae na njia mmoja ya kupata elimu miaka nenda Rudi wakati imeshaonyesha kufail kimazingira sio tu Kwa hapa Tanzania Bali nchi Nyingi za Afrika
We jamaa mbona ni mwanaume lakini unajiita mama tena Samia?? nauliza tu mkuu sio kwa ubayaHuna degree halafu unaponda wenye degree. Wewe na hiyo elimu yako uliyo nayo kuna alama gani umeweka kwenye jamii? Usingekaa darasani ungejua kuandika hiki unachokiandika? Kama huna hela ya ada omba mchango ukasome. Au vyeti vyako vya Form four na six vina F nyingi?
Elimu ya kujitegemea ya kipindi cha nyerere nayo ilifeli ?Mifumo mingine yote ya elimu ilishafeli ndio huu ukaonekana ni aafadhali na bora.
Besides hizo njia nyingine zinaendelea kutumika sambamba na njia hii inayoondoa vilaza.
Sasa mbona vilaza bado mpo wengi?Mifumo mingine yote ya elimu ilishafeli ndio huu ukaonekana ni aafadhali na bora.
Besides hizo njia nyingine zinaendelea kutumika sambamba na njia hii inayoondoa vilaza.
Kamuulize mama yako anaweza kukupa jibu sahihi zaidi.We jamaa mbona ni mwanaume lakini unajiita mama tena Samia?? nauliza tu mkuu sio kwa ubaya
Kuna vilivyofanikiwa na vilivyofeli.Elimu ya kujitegemea ya kipindi cha nyerere nayo ilifeli ?
Famasiala nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii degree ina up and down nyingi sana da! Kuna mda unahis kuelemewa
Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
Uwongo elimu ya kujitegemea ni mbingu na ardhi hafu hizo njia nyingine za kutoa elimu ni ghali ndio maana elimu ya kujitegemea ilichanganyika na hii na hizo njia nyingine. Hiyo ya Sasa ni makapi ya mwisho ndio maana hata ambao hawajasoma wanapenda kujilinganisha. Hafu kingine hujasoma historia kua mababu zetu walikatwa Mikono na mabeberu kisa viwanda vyao vidogo kama kuunda vyungu ila Sasa Hivi hiyo degree hata hawaziogopi wanajua mwisho wa sikuu mnakua wateja wao.Kuna vilivyofanikiwa na vilivyofeli.
Bado elimu ya kujitegemea ilikuwa kwenye muundo sawa na mfumo huu wa elimu unao uponda.
Kuna watu wamepiga mining engineering wako makampuni makubwa ya madini wanafanya yao….tusi ishi kwa kukaririNa degree za engineering pia umezisahau hasa hasa Civil Engineering kidogo na Electrical Engineering.
Mechanical engineering ya bongo ni utapeli tu. Kazi wanazozifanya ni zile zile zinafanywa na mafundi ambao hawajaenda shule.
Engineering zingine zote kwa bongo ni degree za kitapeli tapeli tu