Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

Jamaa gani sasa alikuwa hajui anataka nini? Wakati nimeeleza nilichokuwa nakitaka ila sikikuta kwenye elimu niliyopitia

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo kuunda kitu mpaka uingie darasani ? Una akili gani kijana ?

Ndio maana nikakuuliza lengo la kusoma. Ndio maana unalalama.
 
Elimu yoyote ile ni muhimu ikiwa utaichimba Kwa ndani na kuelewa vizuri na sio kutegemea madesa ya chuo kikuu pekee hata ao walimu bora na doctors ni wale wanaoenda extra miles.
 
Hapana ila Inahitaji elimu ambayo unaipata Kwa njia nyingi.

Na Sasa kuunda vitu ni moja ya maendeleo Sasa kwanini mkomae na njia mmoja ya kupata elimu miaka nenda Rudi wakati imeshaonyesha kufail kimazingira sio tu Kwa hapa Tanzania Bali nchi Nyingi za Afrika
 
Elimu yoyote ile ni muhimu ikiwa utaichimba Kwa ndani na kuelewa vizuri na sio kutegemea madesa ya chuo kikuu pekee hata ao walimu bora na doctors ni wale wanaoenda extra miles.
Kuchimba sio tatizo je unavyo vichimba nakuelewa lakini kumbe ulikuwa unasoma mambo ambayo hayapo kwenye mazingira yako
 
Yaani watu wanakalilishana thermodynamics kukomoana na masteam table lipishana mamilioni afu wanashindwa hata kuunda steam engine. Ambayo James watt aliunda 1774 Kwa elimu ya kawaida hafu kunaja kuvimba huku kua elimu imewasaidia Kwa kua wamepata ajira tanroad za kuziba vilaka na kuajiri Kwa china na wahindi.
 
Maarifa ya chuo unaonjeshwa hivyo Kama utakuwa MTU Wa kubweteka lazima uonekane umetapelewa lazima uipambanie career yako
Mkuu wewe ni art au science maana una kichwa kizito sana nimekwambia hivi unaweza chimba kinadhalia vitabu vyote ila kimazingira ya hapa bongo hayasupport hata kufanya majaribio ya kitu unaweza je unaweza kufanya chenyewe kabisa
 
Una hoja za kitoto Sana wewe unafikiri kila amesoma ili afanye kazi Tanzania Kwa fikra duni Kama hizo lazima uponde Elimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…