Sema nini wakuu degree ni utapeli tu

+267 code ya wapi mkuu?
 
Naungana na wewe kabisa, Ni Leo Asubuhi nimetoka kuongea na Dogo moja anasoma Degree ya Utawala Sijui na mavitu Gani ndio intake mpya, Mkopo amekosa mama yake anapambana na kukopa ili dogo asome kwa kuuza mgahawa mpaka unaona huruma🥲, akimaliza aje kupaki mpira home Tena.
 
Wakuu degree bongo hii degree zinatumika Kwa ufasaha ni mbili tu. Ya udokta na uwalimu hizo nyingine ni kanyaga twende tu yaani Zinakuwa kama useless.

Na degree za engineering pia umezisahau hasa hasa Civil Engineering kidogo na Electrical Engineering.

Mechanical engineering ya bongo ni utapeli tu. Kazi wanazozifanya ni zile zile zinafanywa na mafundi ambao hawajaenda shule.

Engineering zingine zote kwa bongo ni degree za kitapeli tapeli tu
 
Kama msomi wa chuo kikuu unaandika namna hii, mleta mada hajakosea kuziponda degree.
 
Kidogo civil japo nayo Kwa mambo wanayo ya fanya hapo bongo ni basic sana ukilinganisha na vya ulaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…