Sema watu wana ujasiri sana jamani. Hapa Mtanzania angetoboa kweli?

Sema watu wana ujasiri sana jamani. Hapa Mtanzania angetoboa kweli?

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Hawa wenzetu wana ujasiri sana mtu unawezaje kuendesha chombo kama hiki kwenye eneo hatari kama hili?

Mimi hii sijaribu labda mnipeleke mental hospital

Alafu Watanzania sionagi tukifanyaga video za aina hii, kwanini hatupendi kujaribu risky stuffs

 
Back
Top Bottom