Semeni mtakavyosema, ila ukweli ni kwamba SGR bila Nguvu ya Hayati Magufuli na Uthubutu wake leo tusingeifurahia tusimbeze hata kama Kalala mazima

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya Mabadiliko ya mara kwa mara ya Watendaji wake ili kila mwana CCM aonje Utamu wa Keki Tanzania kwa Mgongo wa Kuwakamua Watanzania Masikini kupitia Kodi zao.

Hayati Magufuli lala salama Baba najua sasa Huthaminiki wala Hukumbukwi ila GENTAMYCINE nitakuimba daima tu!!!
 
Ndio bila Magufuli hakuna bwawa la umeme wala SGR .

USSR
 
Watanzania wengi tunaujua huu ukweli. Magufuli anaendelea kuishi mioyoni mwetu.
 
Kwenye SGR na maendeleo mengine ambayo tunayaita ya vitu aliupiga pia. Angalau ameacha alama itayokumbukwa vizazi na vizazi.

Kuna chawa moja ilinichana uso mkavu kabisa, et Magufuli anahusika nini kwenye SGR? Asee CCM sina hamu nao.
 
Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya Mabadiliko ya mara kwa mara ya Watendaji wake ili kila mwana CCM aonje Utamu wa Keki Tanzania kwa Mgongo wa Kuwakamua Watanzania Masikini kupitia Kodi zao.

Hayati Magufuli lala salama Baba najua sasa Huthaminiki wala Hukumbukwi ila GENTAMYCINE nitakuimba daima tu!!!
R.I.P #CHUMAJPM#
 
Kwenye SGR na maendeleo mengine ambayo tunayaita ya vitu aliupiga pia. Angalau ameacha alama itayokumbukwa vizazi na vizazi.

Kuna chawa moja ilinichana uso mkavu kabisa, et Magufuli anahusika nini kwenye SGR? Asee CCM sina hamu nao.
Ningekuwa nae Karibu huyo Juha ( Fool ) ningempiga Bonge la Kofi.
 
Back
Top Bottom