GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Salute Kwako Mkuu na nakubaliana nawe 100%.Watanzania wengi tunaujua huu ukweli. Magufuli anaendelea kuishi mioyoni mwetu.
R.I.P #CHUMAJPM#Kwangu Mimi GENTAMYCINE ninachojua mazuri yote hasa ya Kimiundombinu yanayotokea sasa yametokana na Hayati Magufuli na bado sijaona hata moja ambalo aliyeko sasa anaweza kusema Yeye ndiyo kalifanikisha na kama labda kuna alilofanikisha kwa upande wake ni Kucheza Sinema Mbugani na kufanya Mabadiliko ya mara kwa mara ya Watendaji wake ili kila mwana CCM aonje Utamu wa Keki Tanzania kwa Mgongo wa Kuwakamua Watanzania Masikini kupitia Kodi zao.
Hayati Magufuli lala salama Baba najua sasa Huthaminiki wala Hukumbukwi ila GENTAMYCINE nitakuimba daima tu!!!
Hakika Mkuu.Si alisema tutamkumbuka si kwa mabaya yake bali kwa mazuri yake
Ningekuwa nae Karibu huyo Juha ( Fool ) ningempiga Bonge la Kofi.Kwenye SGR na maendeleo mengine ambayo tunayaita ya vitu aliupiga pia. Angalau ameacha alama itayokumbukwa vizazi na vizazi.
Kuna chawa moja ilinichana uso mkavu kabisa, et Magufuli anahusika nini kwenye SGR? Asee CCM sina hamu nao.