Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
HaswaaHahaaa uzuri wa kondoo mkia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HaswaaHahaaa uzuri wa kondoo mkia
Huyo kigwa Hana adabu aiseeInadaiwa hivyo Mkuu sasa jamaa kanuna uongo mwingi blah blah blah na kuruka na TANAPA kumbe jamaa kamvua picchu manzi wake. Kuna wengine kawaacha kwenye baraza haramu la mawaziri hatusikii kuwasema sababu za kuwaacha ila kamshupalia Kigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuchapiwa kubaya na binti imemkosesha Ubunge wa viti maalum na labda hata uwaziri.
Huyo kigwa Hana adabu aisee
Duh hyo noma Sana hyo kudukuana loh, anajua yote a to z.Jamaa anawadukua mnoo na pia kuna watu wanafuatilia kila linalojiri na kumpa ripoti. Nape alijikomba kuomba samahani lakini jamaa bado kanuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu wewe ndio huyu?,naomba unijibu tuJibu swali.
Samahani kwa kutokua vile ulitarajia iweMpaka roho imefanya paaa. Nikaangalia kushoto na kulia kwangu kama kuna mtu. Duh
Huyu mama huwa nikiiona sura yake namkumbuka ex wangu.[emoji35][emoji35][emoji35]
Duuh.....kupitia jimbo gani yule?Si huyu.Mwenye Kebby yupo mjengoni bungeni.
Na baadae akanyang'anywaWaziri wa ujenzi wa Mkapa hakufukuzwa kazi. Na nyumba ya serikali alihonga.
Woiii, nakuunga mkonowoii[emoji19]
Kupitia viti maalum au?Si huyu.Mwenye Kebby yupo mjengoni bungeni.
Yupo mzee hata kwa codeInadaiwa hivyo Mkuu sasa jamaa kanuna uongo mwingi blah blah blah na kuruka na TANAPA kumbe jamaa kamvua picchu manzi wake. Kuna wengine kawaacha kwenye baraza haramu la mawaziri hatusikii kuwasema sababu za kuwaacha ila kamshupalia Kigwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuchapiwa kubaya na binti imemkosesha Ubunge wa viti maalum na labda hata uwaziri.
asante sanaWoiii, nakuunga mkono