Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

Huyo kigwa Hana adabu aisee
 
Reactions: BAK
Jamaa anawadukua mnoo na pia kuna watu wanafuatilia kila linalojiri na kumpa ripoti. Nape alijikomba kuomba samahani lakini jamaa bado kanuna 😂😂😂😂😂
Huyo kigwa Hana adabu aisee
 
Jamaa anawadukua mnoo na pia kuna watu wanafuatilia kila linalojiri na kumpa ripoti. Nape alijikomba kuomba samahani lakini jamaa bado kanuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh hyo noma Sana hyo kudukuana loh, anajua yote a to z.
 
Reactions: BAK
Infact hata Mimi napenda wanawake weupe so msimuonee huyo waziri.[emoji1]

Nikijiweka nafasi yake hata Mimi ningehonga wizara.
 
Yupo mzee hata kwa code
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…