2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,625
Waliona wajitoe ili kuunga juhudi za Zanzibar kufanya vizuri....Kilimanjaro stars hawakushiriki?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliona wajitoe ili kuunga juhudi za Zanzibar kufanya vizuri....Kilimanjaro stars hawakushiriki?
Rwanda hawakushiriki? Au ulitaka wote waingie fainaliKilimanjaro stars hawakushiriki?
Muuza suraYule mzungumza english ya kung'ata ulimi katoka kufundisha under 13 hull city kaja kupewa kina mkude eti anajisifu kaleta diamond formation, idiot
Mkuu.. Banka na Ahmada tumemaliza pale Msimbazi?Zanzibar ni nyoko,nimewakubali
Wapi vizuri mpaka CECAFA wakawapima mkojo[emoji23] sasa sijui watawapima [emoji40] [emoji125] non?Zanzibar ni nyoko,nimewakubali
Okwi vipi ameshakuwa garasa? Yani usajili wa bilioni moja plus bado kuna mapengo kwenye timu? Mwambieni Hans Pope hizo sifuri alizoongeza kwenye usajili azirudishe.Mkuu.. Banka na Ahmada tumemaliza pale Msimbazi?
Ungana pamoja kupongeza. Acha kujishtukiaHuko mitaani tutaikoga matusi hadi basi. Kumbe Urojo ukiachwa unakuwa zege.
Bwihi [emoji16] [emoji16]Hivi timu ya CCM haikwenda huko kushiriki??
Pongezi hadi ndoo ipatikane. Hii yote safari tuUngana pamoja kupongeza. Acha kujishtukia