Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

0b230842a069d68f1f30d7d049beb465.jpg
 
Mkuu.. Banka na Ahmada tumemaliza pale Msimbazi?
Okwi vipi ameshakuwa garasa? Yani usajili wa bilioni moja plus bado kuna mapengo kwenye timu? Mwambieni Hans Pope hizo sifuri alizoongeza kwenye usajili azirudishe.
 
Na sisi tunajisikia vizuri wazenji......hongera zao Zanzibar heroes
 
Nimeipenda Jezi yao. Daah, jamaa wako vizuri!
 
Back
Top Bottom