430 ×10=4300Kwa km 1 inatumia Unit 1.2 ambazo ni sawa na 430 Tsh kwa Km
Oh!! kumbe iko fair, Lori la kawaida kwa Distance hiyo linacost kiasi gani kaka?Inatumia gharams ndogo sana
Kwa KM 800 inatumia umeme KWH 900 ambazo ni Tsh 321,000
Gharama ndogo sana
Kwa km 1 inatumia Unit 1.2 ambazo ni sawa na 430 Tsh kwa Km
Hizo 800km ilicover ikiwa na uzito upi? Kwa speed ipi?Inatumia gharams ndogo sana
Kwa KM 800 inatumia umeme KWH 900 ambazo ni Tsh 321,000
Gharama ndogo sana
Kwa km 1 inatumia Unit 1.2 ambazo ni sawa na 430 Tsh kwa Km
Just googleHizo 800km ilicover ikiwa na uzito upi? Kwa speed ipi?
Lori ni zaidi ya hapoOh!! kumbe iko fair, Lori la kawaida kwa Distance hiyo linacost kiasi gani kaka?
Malori mengi lita ikizidi sana km 4430 ×10=4300
Kilomita 10 = 4300
Je diesel ni kiasi gani
Gharama sahihi utazipata ukijua lilikuwa limebeba uzito gani na limetembea speed gani? Pia hali ya barabara ilikuwaje..Oh!! kumbe iko fair, Lori la kawaida kwa Distance hiyo linacost kiasi gani kaka?
Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.
First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.
Likiwa na tani 30 litatumia lita 400 ambazo ni zaidi ya milioni mojaOh!! kumbe iko fair, Lori la kawaida kwa Distance hiyo linacost kiasi gani kaka?
Hii ni kwa fuso kwa semi nyingi ni 3.5-3.0km/ltMalori mengi lita ikizidi sana km 4
Umenikumbusha Chaugingi na IdundilangaGharama sahihi utazipata ukijua lilikuwa limebeba uzito gani na limetembea speed gani? Pia hali ya barabara ilikuwaje..
Aliyetoka songea kuja njombe si sawa na aliyetoka njombe kwenda songea!
Itatoboa kitonga,senkenke,Songea,Kawetele,Rungwe.Haitadondoka kweli! Kuna milima huko.Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.
First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.
Wewe umeagiza ngapi na ilifika hapa nchini lini?Tesla's new electric truck is finally here, with PepsiCo being the first customer to receive some of the 100 vehicles it pre-ordered.
First announced by Elon Musk in 2017, the Tesla Semi has been one of the longest-delayed products in the company's history.
Hapo TRA ana hesabu mihela tu. Ngoja muingie kwenye anga zake.
Kwenye video ya kwanza kabisa waliyoweka wakati wanazindua hilo lorry, ni kwamba utatumia umeme mdogo sana ukiwa unatoka nyanda za juu kusini kuja pwani, na pia ita-charge battery zake, wanaiita regenerative braking.Itatoboa kitonga,senkenke,Songea,Kawetele,Rungwe.Haitadondoka kweli! Kuna milima huko.
acha kupotosha watu wewe , nani kakuambia wanatoza kodi kwenye used vehicle tu? Ingiza new ndiyo utajua hujui. Kodi haitozwi kwenye used tu hata new na hakuna sehemu kwenye sheria zao tra zimesema kodi itatozwa kwenye bidhaa mtumba tu. ingekuwa hivo hawa wanaoleta vitenge au mafuta wasingesema kodi kodi kodi sababu ni item mpta .TRA wanacharge kodi kwenye “used cars” na sio “Brand New Car”
acha kupotosha watu wewe , nani kakuambia wanatoza kodi kwenye used vehicle tu? Ingiza new ndiyo utajua hujui. Kodi haitozwi kwenye used tu hata new na hakuna sehemu kwenye sheria zao tra zimesema kodi itatozwa kwenye bidhaa mtumba tu. ingekuwa hivo hawa wanaoleta vitenge au mafuta wasingesema kodi kodi kodi sababu ni item mpya