Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

Kupanga ni kuchagua , jiulize:-
  1. Huyo binti ana baba wakubwa , wadogo , wajomba na shangazi?
  2. Huyu binti ana kaka zake, dada zake na wadogo zake?
  3. Wadogo na dada wa binti wameolewa, kama ndio je wana waume zao ama wake zao wapo na kama wapo je wakwe [walio oa ama kuolewa kwenye familia wapo?]
  4. Huyu binti , amesoma Vidudu, Msingi, Sekondari , A level na Chuo, huko kote hana marafiki wataty tu, kila alipopita?
  5. Huyu binti anafanya kazi kama si biashara kwa wachaggaa, hana bosi wala mfanyakazi mwenzie?
  6. Huyu binti , nina uhakika wameishi nyumba za kupanga, ina maana hana majirani watatu pale kinondoni, pale Ada Estate na sasa kwao mikocheni?
  7. huyu binti ni Kafiri [Mkristo], je hana kiongozi wa jumuia ama mchungaji wake ?
  8. Huyu binti hayo si mahusiano yake ya kwanza, ina maana hana ma-ex zake?
kwa haraka haraka ukijumlisha nlio wataja unapata watu 70.
 
Ndoa na msiba ni jambo la kifamilia. Aliosoma nao,majirani ,mchungaji, kiongozi wa jumuia,ex boyfriends inatoka wapi.
 
Ustaarabu ni kutochangisha michango eti [emoji23]
 


Kwa maswali yako, naona unahisi wazungu huwa hawanaga ndugu na jamaa uliowataja

 
Safi sana halafu Johari Rotana,siyo michango kibao sherehe inafanyika vichochoroni na mama ntilie ndani ya ukumbi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…