Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Kupanga ni kuchagua , jiulize:-send off kali sana.
33 People Invited Only na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii maana hakuna siti ya ziada.
1 - Hakuna kusumbua watu michango
2- Hakuna kupotezea watu muda wao na vikao vingi vya Kamati
3 - Hakuna madeni.
this show her mental health stability ipo juu sana.
View attachment 3255993
- Huyo binti ana baba wakubwa , wadogo , wajomba na shangazi?
- Huyu binti ana kaka zake, dada zake na wadogo zake?
- Wadogo na dada wa binti wameolewa, kama ndio je wana waume zao ama wake zao wapo na kama wapo je wakwe [walio oa ama kuolewa kwenye familia wapo?]
- Huyu binti , amesoma Vidudu, Msingi, Sekondari , A level na Chuo, huko kote hana marafiki wataty tu, kila alipopita?
- Huyu binti anafanya kazi kama si biashara kwa wachaggaa, hana bosi wala mfanyakazi mwenzie?
- Huyu binti , nina uhakika wameishi nyumba za kupanga, ina maana hana majirani watatu pale kinondoni, pale Ada Estate na sasa kwao mikocheni?
- huyu binti ni Kafiri [Mkristo], je hana kiongozi wa jumuia ama mchungaji wake ?
- Huyu binti hayo si mahusiano yake ya kwanza, ina maana hana ma-ex zake?