Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie tunaobebwaga na kadi za familia tumekutwa na jambo....yaani hakuna pa kujifichia!!send off kali sana.
33 People Invited Only🙌🏾 na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii🤣🤣 maana hakuna siti ya ziada.
1 - Hakuna kusumbua watu michango
2- Hakuna kupotezea watu muda wao na vikao vingi vya Kamati
3 - Hakuna madeni.
this show her mental health stability ipo juu sana.
View attachment 3255993
Kwani ukizikwa na watu 10000 na ukazikwa na watu 10 tofauti yake ni ipi?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Wakiwa 200 ndio atafufuka?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
😂😂🤣😂😂Watu Wana Hasira NayeWamemsahau pascal mayala muwakilishi wa JF
Hata usipozikwa, maiti haijui kama imezikwa.Kwani
Kwani ukizikwa na watu 10000 na ukazikwa na watu 10 tofauti yake ni ipi?
Hapana sherehe itakuwa nzuri zaidi na familia yake yote itashirikishwa. Kwani akifa na wakaja watu 33 tu atafufuka?Wakiwa 200 ndio atafufuka?
Itakuwa nzuri kwa nani?Hapana sherehe itakuwa nzuri zaidi na familia yake yote itashirikishwa. Kwani akifa na wakaja watu 33 tu atafufuka?
Halmashauri ya jiji husika lazima izike,tena bureeeeHata usipozikwa, maiti haijui kama imezikwa.
Kwa familia yote.Itakuwa nzuri kwa nani?
Ni uchoyo na ndoa yako haitapendeza itakuwa tu kama chakula cha jioni,Safi kabisa angalau naanza kuona mambo ninayoyapenda na mimi nitafunga ndoa na watu 20 tu nitaalika .
Watu hulipa uzito usiostahili, sherehe za ndoa Sasa hivi hazitakiwi kuwa jambo kubwa sana. Wazazi au walezi wawaandae vijana wao na maisha halisi ya ndoa, siku hizi furaha ni kwenye sherehe tu ila wakishaoana baada ya mwaka vurugu huanza na mashtaka kibao, hivyo vijana waandaliwe kwenye maisha halisi ya ndoa.Jambo la ndoa na msiba ni swala la kifamilia hata zamani ilikuwa hivyo. Siyo mbwembwe kwa sababu hakuna hata mahali watanzania walivyo hodari wa kuiga,wameiga
Sherehe nyingi hazina uhalisia na kipato cha wahusika,ni michango ya watu,siyo jambo jema.Binti yetu alidumu kwenye ndoa miezi mitatu tu,kwa kweli ni aibu kubwa.Watu hulipa uzito usiostahili, sherehe za ndoa Sasa hivi hazitakiwi kuwa jambo kubwa sana. Wazazi au walezi wawaandae vijana wao na maisha halisi ya ndoa, siku hizi furaha ni kwenye sherehe tu ila wakishaoana baada ya mwaka vurugu huanza na mashtaka kibao, hivyo vijana waandaliwe kwenye maisha halisi ya ndoa.
😀😀😀😀😀Wamemsahau pascal mayala muwakilishi wa JF
Fanya ambacho kipo ndani ya uwezo wako hakuna haja ya kujiumiza au kusumbua watu na habari za michangoTusiige mambo ya Wazungu, wao hufanya hivyo kwani kule watu hawana time na pia hakuna cha mambo ya shangazi, mjomba, jirani, nk, huku kwetu extended familu ipo na kuna watu wengi tu watakuwa wanajiona wametengwa.
Kwani wakiwa zaidi ya 33 ananufaika nini?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.