Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.

Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi akidaiwa kufanya njama ya uasi, njama ya jinai na makosa mengine.
=================

Senegal has restricted access to internet services from Monday due to the spread of "hateful messages" on social media, communications minister said in a statement.

This comes after opposition leader Ousmane Sonko was charged on Saturday with plotting an insurrection, criminal conspiracy and other offences.

His followers have been angered by the prospect that his conviction could bar him from standing in next year's presidential election.

"Telephone operators are required to comply with the notified requirements," communications minister Moussa Bocar Thiam said in a statement.

Reuters
 
Sonko anaumiza kichwa serikali ila nawapongeza wananchi wa Senegal huwa hawamtupii majukumu peke yake. Akifungwa wanaandamana, akisomewa mashtaka wanampa support na inavyoonekana serikali ikifanya jaribio lolote dhidi ya uhai wake wananchi watakuwa wakali sana.

Senegal wanagawana majukumu, unawapigania na wao wanakupigania sasa bongo wananchi maneno mengi vitendo sifuri. Ukiamua kujipigania mwenyewe wanasema umelamba asali
 
Africa imejaa watu wapumbavu sana!
Hawajui wanataka nini wapo kama ng'ombe tu....
 
Inaweza ikasaidia kupunguza further ghasia kuwa spread out
 
Viongozi wetu wa Afrika bado wanaamini zile human basic needs ni
1. Chakula
2. Mavazi
3. Malazi
Kuna mtu nikamwambia hata gari kwasasa ni human basic needs akakataa. Nikamuacha km alivyo
Ambulance 🚑🚑🚑 ilee na unaambiwa weka mafuta ...gonjwa yako pelekwe sibitali...anakufia hapo.
... Ndio atajua ni basic au luxury...tushatoka huko..kufundishana eti mji mkuu waaa ....niiii Rais waaaa ...niiii.....mkuu wa mkoa waaa..... Niiii...ushenzi ushenzi....elimu yenyewe tu ya KIJINGA...
 
JPM alizima internet nchi nzima wakati wa uchaguzi, tukubali tuu Africans akili ni zero na ndio maana ni maskini wa kutupwa, niliingia restaurant ya watu wa west Africans na Somalia hapa US nusu nitapike, zinanuka, vyoo vichafu na wako very rude, aibu tupu
 
Viongozi wetu wa Afrika bado wanaamini zile human basic needs ni
1. Chakula
2. Mavazi
3. Malazi
Kuna mtu nikamwambia hata gari kwasasa ni human basic needs akakataa. Nikamuacha km alivyo
Gari na simu ya mkononi ipi unadhani ndio muhimu zaidi kwa sasa ?
 
Sonko anaumiza kichwa serikali ila nawapongeza wananchi wa Senegal huwa hawamtupii majukumu peke yake. Akifungwa wanaandamana, akisomewa mashtaka wanampa support na inavyoonekana serikali ikifanya jaribio lolote dhidi ya uhai wake wananchi watakuwa wakali sana.

Senegal wanagawana majukumu, unawapigania na wao wanakupigania sasa bongo wananchi maneno mengi vitendo sifuri. Ukiamua kujipigania mwenyewe wanasema umelamba asali
Hivi sonko kabla kuwa mwanasiasa alikua nani kwenye jamii nafatilia historia yake siielewi maana ipo kifaransa
 
Back
Top Bottom