Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

Senegal imezuia upatikanaji wa Huduma za Intaneti kwa kile kilichodaiwa na Waziri wa Mawasiliano kuwa ni kutokana na kuenea kwa "ujumbe wa chuki" kwenye Mitandao ya Kijamii.

Hatua hii inakuja baada ya Kiongozi wa Upinzani, Ousmane Sonko kukamatwa Wiki iliyopita na kushtakiwa tena Jumamosi akidaiwa kufanya njama ya uasi, njama ya jinai na makosa mengine.
=================

Senegal has restricted access to internet services from Monday due to the spread of "hateful messages" on social media, communications minister said in a statement.

This comes after opposition leader Ousmane Sonko was charged on Saturday with plotting an insurrection, criminal conspiracy and other offences.

His followers have been angered by the prospect that his conviction could bar him from standing in next year's presidential election.

"Telephone operators are required to comply with the notified requirements," communications minister Moussa Bocar Thiam said in a statement.

Reuters
ni vizuri, hata China hakuna uhuru wa kipumbavu km huo mnaoutaka.
 
Sonko anaumiza kichwa serikali ila nawapongeza wananchi wa Senegal huwa hawamtupii majukumu peke yake. Akifungwa wanaandamana, akisomewa mashtaka wanampa support na inavyoonekana serikali ikifanya jaribio lolote dhidi ya uhai wake wananchi watakuwa wakali sana.

Senegal wanagawana majukumu, unawapigania na wao wanakupigania sasa bongo wananchi maneno mengi vitendo sifuri. Ukiamua kujipigania mwenyewe wanasema umelamba asali
Kwakweli sisi tutabakia kuburutwa tu mfano mzuri unauona ktk skata la bandari watanzania wamegawanyika zaidi ya vipande vya kioo kilichopasuka, uthubutu wa kila tulifanyalo kwa manufaa ya nchi ni mdogo sana. Na siku izi kinachotusaidia ni hii mitandao, humu tuta sema utazania ikifika mahali tunaweza iwajibisha Serekali kumbe hamna lolote tunaufyata na kukimbilia kusema hatuwezi kuwapigania wengine wakake madarakini.
 
Back
Top Bottom