Senegal: Huduma ya Intaneti yazimwa baada ya Kiongozi wa Upinzani kuongezewa Mashtaka

ni vizuri, hata China hakuna uhuru wa kipumbavu km huo mnaoutaka.
 
Kwakweli sisi tutabakia kuburutwa tu mfano mzuri unauona ktk skata la bandari watanzania wamegawanyika zaidi ya vipande vya kioo kilichopasuka, uthubutu wa kila tulifanyalo kwa manufaa ya nchi ni mdogo sana. Na siku izi kinachotusaidia ni hii mitandao, humu tuta sema utazania ikifika mahali tunaweza iwajibisha Serekali kumbe hamna lolote tunaufyata na kukimbilia kusema hatuwezi kuwapigania wengine wakake madarakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…