Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
11,640
Reaction score
24,066
Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000.

Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na walipangwa kufungua mashindano na ufaransa..

Ufaransa ilisheheni mastaa na wakali kibao wakiwemo
zinedine zidane, mercel desaily, Lilian thuram, Thierry Henry, karembeu, Patrick vierra, Nikolas anelka, Fabian bartez, Robert pires hao Ni baadhi ya nyota..

Senegal ilikua na nyota kadhaa wakiwemo alhaji diof, Papa boup diop, ndiaye, camara, diao, fadiga, Tony Silva, team captain cisse

Kwenye ufunguzi wa kombe la dunia 2002 ufaransa ilivaana na Senegal Ni mechi iliyo Isha kwa kuuduwaza na kuushangaza ulimwengu wa soka ulimwenguni baada ya Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

Papa boup diop ndie alie wanyanyua wasenegali na waafrika kwa ujumla wake alipo slide na mpira nyavuni kuunganisha pasi ya maestro alhaji diof..

Kwa Sasa Papa boup diop Ni marehemu alifariki mwezi November 2020 akiwa na umri wa miaka 42 TU

Je? Unakumbuka Nini kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia mwaka 2002 kule Korea kusini na japani

Screenshot_20240624-143109.png
Screenshot_20240624-150209.png
 
Umenikumbisha vituko vya Fabian Bartez , kweli football was entertaining. Ila sio mpira wa sasa.
Walikua wanaenda kubusu ule upara wa bartez..

Alikua bonge la nyanda Fabian bartez😊
 
Kwa majira ya huku kwetu mechi zilikua zinachezwa asubuh asubh 😂
 
Back
Top Bottom